Recent content by jlizzy

  1. jlizzy

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Mhhhhhh jmn sio kwa kuwashambulia huko wanaume mboana tupo simple 2 lakini kwa hizo changamoto za mwenzetu huyo mdada nikwamba aongeze kamda kidogo na dua,umakini atajuwa linalompasa kufanya asant ila umetuponda sana sis wanaume
  2. jlizzy

    JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Bro umejuwaje kama waowaji wenyewe wanakwepa kuwaoa sasa wajioe wenyewe jmn eeee!!!!!!
  3. jlizzy

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vipato wanawapotosha Wanawake Maskini. Sasa mwanamke aandike mali kwa jina lake kwa kipato kipi?

    Asant sana na hiii naomba waipitiepitie sana hawa ndugu zangu wa hii jinsia jirani🫪🫪🫪🫪
  4. jlizzy

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua

    Siuoni umaana wa huo muuungano hata mini mwenyewe
  5. jlizzy

    JamiiForums Tanzania Wapishi mnatukera muda mwingine mnajaza viungo mpaka chakula kinakosa ladha

    Hahahaha sawa bwana si tunakupata sana mteja wetu lakini ni tatizotu la kiufundi tunaahidi kujitahidi 😗😗😗
  6. jlizzy

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna tofauti kati ya 'Sphaghetti' na tambi. Mpaka sasa wewe unazifahamu ngapi?

    Yaani hii spaghetti noma sana watu wangu wa jikoni nadhani mnaifaham hii
  7. jlizzy

    JamiiForums Tanzania Siri ndio maisha yako, jifunze kutunza siri

    Asant sana
Back
Top Bottom