Hivi ni kusema kuwa Hawa wanaofanya vitendo hivyo
- Hawawezi kutongoza?
- Hawana Wasichana wa kupunguza haja zao
- Mbaya zaidi mtoto wa mwaka 1 - 9 anakupa msisimko gani?
Zaidi unakuwa unampa maumivu makali mtoto wa watu na kumpa majeraha ya moyo na mwisho wa siku asiweze kukusahau kwa kitendo...
Siwezi kufikiria kuwa mke wa pili
Pia you need to understand the threat before commenting. Alafu niliomba ushauri ila wewe uliishia kutoa mapovu ndio maana huenda moderator aliona ulikuwa nje ya topic katika kuchangia kwako....dada Cariha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo umewaza wewe huenda ndio unayofanyaga wewe....na katika quote yangu sijaconfirm kama hatozaa tena au milele yote
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.