Recent content by jk1984

  1. J

    JamiiForums Tanzania MIKOPO YA MITAONDONI

    Asante kwa ushauri
  2. J

    JamiiForums Tanzania MIKOPO YA MITAONDONI

    Habari wana jf Awali ya yote nipongeze jukwaa hili kwa kuendelea kutoa elimu katika maswala mbalimbali Pili, kuna mikopo inayotolewa na kampuni mbalimbali za mikopo mitandaoni na kimsingi mikopo hii ni zaidi ya kausha damu kwani ni ya muda mfupi,mikopo midogo ila riba kubwa sana. Nayasema haya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kimtandao

    Kimsingi nilipigiwa simu akajitambulisha ni afisa utumishi wangu kutoka niliko hama kuja hapa dar akinisisitizia malipo yangu ninayodai toka mwaka 2017 yametoka hivyo natakiwa kwenda kuchukua barua zangu ofisi ya masijala na kwakuwa niko mbali nikamtuma mshkaji wangu kwenda kufuatilia akajibiwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kimtandao

    Nawasalimu nyote. Ndugu zangu nimetapeliwa katika mazingira ya kutatanisha ambayo mpaka sasa wahusika wanapatikana nimepeleka taarifa kituo cha polisi kimsingi mpaka leo sijapata msaada nawaombeni mwenye kuweza au kujua namna ambavyo naweza kufanikisha hili anisaiidie maana nimepoteza hela...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hotel au Lodge nzuri Mbagala Dare es salaam

    Ipo tuwasiliane 075 876 6796
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

    Mmmh am speechless japo k kubwa ni tatizo na kina mama zetu wa sasa wana mak makubwa mno tuendele3 kuwa wapole tutunzane tu maana hakuna namna
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru wadau wa JF kwa ushauri mzuri mlionipa

    Habari wadau. Awali ya yote niwape pole na majukumu yenu ya kila siku kwa ujumla wenu. Pili niwashukuru wale wote ambao kwa namna moja au nyingine baada ya post yangu hapa juu ya MWILI KUPIGA SHOTI KAMA UMEME kwa namna ambavyo kila mmoja wenu alivyoweza kureact agaist the topic either...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kiuno na uti wa mgongo kukakamaa au kama kufa ganzi

    Asante kwa taarifa nilikuwa stressed up sana
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kiuno na uti wa mgongo kukakamaa au kama kufa ganzi

    Kwa maaana ipi?maelezo zaidi tafdhali
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kiuno na uti wa mgongo kukakamaa au kama kufa ganzi

    Na kusikia vitu vinachoma choma na kutembea katika mwili ni dalili za nini? Pili nakushukuru sana kwa ushauri nitakupigia
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kiuno na uti wa mgongo kukakamaa au kama kufa ganzi

    1.39 2.2mnths 3.bodaboda 4.sijapata
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kiuno na uti wa mgongo kukakamaa au kama kufa ganzi

    Habari wakuu, Nina changamoto kubwa ambayo inanitesa naombeni msaada wa mawazo. Kimsingi nina shida ya kiuno kufa ganzi au kukamaa kwa muda hususani ninapo enda haja au kukaa kwa muda mrefu sijaju shida ni nini. Pili naomba kujua kwa undani zaidi kwa wenye uelewa nimekuwa ni muumini wa punyeto...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la Mwili kupata shoti

    Habari wadau Nisingependa nieleze sana ila kiufupi napitia wakati mgumu sana nimekuwa nikipata shoti kama ya umeme kwenye mwili wangu kwa muda sasa kwani imekuwa ikitokea mara kwa mara ambapo unaweza isikia mguuni ghafla tena baada ya muda mgongoni na maeneo engine ya mwili jambo hili...
Back
Top Bottom