Jamani, utadhani hatufikiri., huu siyo upotoshaji waziwazi! Hivi, awamu ya tano ilimaliza lini muda wake? Nauliza tu ili nieleweshwe maana yawezekana nimepotoka kidogo.
Inasikitisha na inafikirisha sana! Ukifuatilia kauli za Askofu, yaliyosemwa bungeni, na hoja ya kumfukuza kwenye chama; Nauliza tu:
Ina maana ccm wanaunga mkono utekaji na kupotezwa kwa waTz?
Inafikirisha sana......ufisadi, mikataba ya ufirisi kwenye migodi ya madini, utoroshaji wa raslimali, akaunti nje ya nchi- hivi list of shame ilikuwa ya akina nani tena? Rushwa kila Kona.....n.k...n.k ongezea
Wenye kutafakari:
Kati ya hawa , ni nani MCHOCHEZI!
Ndg zangu, nchi hii ni yetu sote. Tutafakari:
Kati ya hawa, ni upande upi wanaochochea vurugu. TUTAFAKARI, TUJISAHIHISHE
Ni kweli usiopingika! Kama VYAMA VINGI tunaona kunatuletea vurugu; kama UPINZANI ni UADUI; na kama hatuwezi kukosoana, kusahihishana na kurekebishana na kuwa na Taifa lenye Amani kupitia demokrasia ya VYAMA VINGI; ni bora kufuta huu mfumo tukabaki na chama kimoja kuliko kwenda na mfumo...
Kati ya wanaodai HAKI na wanaokandamiza HAKI ni yupi anayechochea machafuko? Aliye kataa Mabadiliko ya KATIBA ambayo yalikuwa Maoni ya waTz ni nani? Ambaye hataki uwepo wa TUME HURU YA UCHAGUZI ni yupi? Je, huyu si mchochezi wa maovu namba moja? TUJITAFAKARI, TUJISAHIHISHE!
Nchi nyingi...
Huwa nakaa nafikiria: Hivi, mabilioni ya Fedha yaliyotumika kwenye Mabadiliko ya KATIBA yamepotea hivi hivi kabisaaa, au...! Kama Taifa, tunaona sahihi kabisaa, au? Hii siyo vurugu!? Ni vurugu ya kiuchumi na kijamii na hasa kwa waTanzania maskini tulio ktk nchi hii! Siyo HAKI!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.