Recent content by jjmafulo

  1. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania Tecno Y6 inauzwa

    Haina shida yeyote Ipo kwenye good condition 120,000/tsh ony nichek 0625563813
  2. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania Tecno Y 6 inauzwa

    Haina shida yeyote ni nzimA na haijatumika muda sana Laki moja na ishirini tyuuu Kama unaitaka nicheki 0625563813
  3. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania Mliochaguliwa Ardhi - The unique university, tukutane hapa

    Guyz hivi Community and development studies nitapata mkopo kweli
  4. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania Tukutane taifa

    Sijawahi kuipenda team ya ccm mi ni mwekundu damu damu hapa chadema hapa simba hapa aseno
  5. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania ITV bana, Gavana anaeleza hali ya Uchumi wa nchi anapewa dak. 1, Mbowe anaeleza UKUTA, dakika 4

    Economic devpnt au economic growth?
  6. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wabadilisha katiba ya kutowatambua wapinzani

    Futa kabisa na vyama vya upinzani tanzania si tunajitekenya huku tunacheka wenyewe futa chadema futa cuf fuka nccr mageuzi futa mfumo wa vyama vingi weka CCM tu kwenye katiba ya jamuhuri Ya muungano afu tuishi hivi hivi ccm oyeeeeeee msajiri wa vyama nchini piga kazi
  7. jjmafulo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna 'Sober House' za punyeto?

    Ila kweli nyeto aiseee kama teja
  8. jjmafulo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna 'Sober House' za punyeto?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania Nape aijibu Marekani, ataka ianze kujinyooshea kidole kabla haijaiangalia Tanzania

    Hawajatuamulia wao wametoa mapendekezo sasa hao ndo wanaofadhiri bajeti kwa kiwango kikubwa kama wanatoaga fedha na tunapokea mbona maandishi tunayaona mazito na yamoto
  10. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania Nape aijibu Marekani, ataka ianze kujinyooshea kidole kabla haijaiangalia Tanzania

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui anatoa wapi jeuri hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma saaaana ngoja nikae kimya nisije kuwa mhang wa makosa ya mtandao
  11. jjmafulo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Hivi ni vizuri girlfriend/boyfriend wako kuwa karibu na rafiki yako?

    Kiongiz alijaribiwa Yesu sembuse yeye , mimi ninawivu saaaaana siwezi kuruhusu hii kitu mazoea yawe ya kawaida yasiyotia shaka sio wanazoeana utadhani wao ndo wapenz haaaaaaaaa noooooooop nitapiga mtu
  12. jjmafulo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Hivi ni vizuri girlfriend/boyfriend wako kuwa karibu na rafiki yako?

    Mi mpenz wangu siwezi kumruhusu hata kidgo
  13. jjmafulo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Hivi ni vizuri girlfriend/boyfriend wako kuwa karibu na rafiki yako?

    Hainaga ushemeji tunakulagaaaa
  14. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Chanzo cha kuporomoka kwa Maadili katika Jamii na Hatma ya Taifa!

    Ni sheria ipi inayolinda ushoga ni hiii ya nchi yetu ya tz kama wanalindwa kisheria kwann makonda na serikali yake walitangaza kiama juu yao?
  15. jjmafulo

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Chanzo cha kuporomoka kwa Maadili katika Jamii na Hatma ya Taifa!

    Fact sio kuumaliza na inawezekana tusiweze lakini kunahaja gani na kumwacha aendeleee kutumia mitandao ya kijamiii kujinadi yeye ni shoga huku nguvu nyingi ya vyombo vya dola inaelekezwa kwa watu wenye mchango mkubwa katika taifa kama akina malisa akina nyerere
Back
Top Bottom