Recent content by Jizi

  1. Jizi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Uchaguzi ukiwa fair fair Zitto Kabwe hatoboi dhidi ya Baba Levo Kigoma.Labda Serikali imbebe kwa kuzuga No reform kwamba upinzani nao wameshinda

    Alama yetu Kigoma ni samaki aina ya Mgebuka,meli ya zamani iitwayo Liemba pamoja na production ya mawese,inakuaje Leo kwamba ZZK anakuwa alama ya mkoa wa Kigoma? Sikubaliani na hoja hii
  2. Jizi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi

    Ukimpenda wewe inatosha,usijumlishe watu wote
  3. Jizi

    JamiiForums Tanzania Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

    Kutoka X mpaka JF,kweli hauvumi lakini...
  4. Jizi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu teuzi

    Sio kweli kwamba mwalimu anaweza kushika kazi yoyote nchini. Mwalimu hawezi kuwa daktari,mwanasheria,Polisi au mwanajeshi na kazi nyingi nyinginezo! Mwalimu anabakia kwenye taaluma yake isipokuwa kazi kama DC ipo kinamna tofauti na DAS ambaye ndiye mtawala na muajili mkuu kwa ngazi ya wilaya
  5. Jizi

    JamiiForums Tanzania Wale Wazee wa 'Kimwela' mlioomba mpewe Mwili wa Membe je, baada ya Kuukagua mmegundua nini?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Hii ndio inaitwa kua uone
  6. Jizi

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Peleka udini wako kwa mumeo huko huko chumbani kwenu
  7. Jizi

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Umeanza vizuri umemalizia kama Instagram,yaani watu wajichukulie sheria mkononi kisa Mdude? Kweli kabisa unasema hayo ukimaanisha au wewe unao watu ambao tayari umewa tambua kama watesi wake? Kama jibu ni ndio,si uende mahakamani sasa
  8. Jizi

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Maarufu Arusha, anyongwa hadi kufa nyumbani kwake

    Hii hadithi nani anasimulia? 1. Jirani? 2. Jambazi? 3. Marehemu 4. Wewe muandika uzi huu ukiwa kundi lipi kati ya 1 hadi 3? Kama taarifa iko hivyo,kwamba watu walikuwa wamekaa grosari,kilichozuia wewe na wenzako kuwakamata hao watu kabla au baada ya kutekeleza huo uhalifu ni nini? Naona uzi...
  9. Jizi

    JamiiForums Tanzania Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi na sio Dodoma

    Nenda kaangalie wanyamwezi halafu linganisha na hao utajua unasifia rangi husifii uzuri au makalio ya kinyaturu yaliyobebwa na spoko za baiskeli
  10. Jizi

    JamiiForums Tanzania Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi na sio Dodoma

    Kama issue ni katikati ya nchi,basi ukiwa unatoka Kitinku kupandisha Manyoni,pembeni ya barabara kuna jiwe kubwa kushoto na bacon ambayo inatambulisha kuwa ndio katikati ya nchi. Dodoma kuwa makao makuu ya serikali sidhani kama kigezo cha kuwa katikati kilitumika
  11. Jizi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Hata awe mpagani sio lazima awe mkristo kama kazi anaiweza kuifanya vema
  12. Jizi

    JamiiForums Tanzania IKULU DAR: Mama Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais wa JMT tarehe 19 Machi, 2021

    Kwani ndio wanaoapisha Rais?
  13. Jizi

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Marehemu Nditiye alinitumia ujumbe wa kunishukuru kwa kumuinua wiki chache zilizopita!

    Liko wazi hilo mkuu[emoji38][emoji38][emoji38]
  14. Jizi

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha gari la Mkuu wa Mkoa Mara kugongeshwa na mtoto wa dereva ni dhahiri agizo la Waziri Mkuu lilipuuzwa

    We jamaa umenikumbusha enzi hizi mshua anaacha kalamu kitandani makusudi Sasa ole wako akute imegeuzwa hicho kipondo,utamuita izrael aje kumchukua[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom