Uko sahihi,ujinga huu unaoendelea sio sahihi,watu wakiendelea kushangilia iko siku serikali itapanga hadi mahari za kuolea,itapanga gharama za harusi n.k
Wakati huu sio wa ujamaa na biashara ni huria,serikali itafute namna ya kutoa huduma kwa watu wake na isilazimishe wafanyabiashara kwa sababu biashara huria mtu anaangalia faida anayoipata
Tangu lini ulikuta askari mochwari anatoa msaada??!!Tumia akili kabla hujasema jambo,huku JF kuna watu wengi wenye uwezo wa kufikiria.Hawaendeshwi na khanga ,vitenge,vilemba wala madela
Bado naona wazi kabisa ushabiki wa vyama utaendelea bungeni kama ilivyokuwa katka mabunge yaliyopita.
Kuna vijana walikuwa na sera nzuri lakini kwa kuwa hawatokei UKAWA na CCM kunewanyima fursa.Sioni jipya kwa uongoz wa bunge mbele ya bunge lililogawanyika
Kikatiba mahakama ni chombo huru,ila kwa siasa za Tanzania mahakama bado zitaendelea kutekeleza matakwa ya watawala
Tatizo linaloikabili sekta ya mahakama ni baadhi ya watoa maamuz kuwa makada wakubwa wa vyama.Wanategemea kugombea nyadhifa fulani au kuteuliwa katika nyadhifa fulani katka vyama...
Kama hakupewa nafasi ya kujitetea huo sio utawala bora kwa sababu inawezekana aliomba lakini hakupewa.Hizo bilioni 3 zinazotolewa na wizara ya fedha ndo zinatolewa leo au ziliombwa zamani halafu ndo zinatolewa wakati huu??
Tunataka huduma bora,tunataka watu wawajibike na wawajibishwe lakini...
Wanau natamani kujua maana halisi ya hilo neno tajwa hapo juu maana nalisikia tu wapinzani wanapoomba mikutano ndo polisi wanazuia kwa taarifa za kiitelijensia
Hiv walikuwa wapi kutoa taarifa za kiitelijensia mabomu ya Arusha wakati huo na majanga mengine?!
Au taarifa za kiitelijensia ni...
Ndugu wanajamvi,
Nimesikitika kuona katika uwanja wa taifa leo akiapishwa Magufuli kuona uwanja umevalia nguo za CCM kona zote.Nachojua rais ni kiongoz wa nchi ,kitendo cha kujaa wanaCCM tu ni dhahiri taifa halipo sawa kama ilivyokuwa miaka ya nyuma ambapo watu wasio na vyama walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.