Recent content by JIULIZE KWANZA

  1. JIULIZE KWANZA

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    wewe hata kura hupigi mwanakijiji wala sio chadema tuachie yetu
  2. JIULIZE KWANZA

    Coalitions of the willing (UKAWA)

    Kwa hili naunga mkono hoja ila vipi home boy wako edo atakuja na ntoke vipi?
  3. JIULIZE KWANZA

    Taarifa ya uchukua, kurejesha fomu na kura za maoni CHADEMA

    Viti maalumu nao je wanaruhusiwa kuchukua fomu sasa hivi? Kuna maeneo yalikuwa yana lucky of information wamama wanalaumu sana kamanda tumaini makene
  4. JIULIZE KWANZA

    Taarifa ya uchukua, kurejesha fomu na kura za maoni CHADEMA

    ASANTE KWA TAARIFA KAMANDA NAOMBA NI INBOX NO YA Katibu mkuu
  5. JIULIZE KWANZA

    Turufu ya UKAWA ni kijana sio mwanamama!

    Tundu lisu ni mwanasheria mkuu wa serikali ya ukawa 2015 oct 25 slaa ndio raisi
  6. JIULIZE KWANZA

    Kukatwa kwa baadhi ya wagombea Urais, Rais Kikwete kunawa mikono!

    Apo kwenye red bold uko sawa kabisa sifa na sura wanafanana escro, epa, richmond etc
  7. JIULIZE KWANZA

    Askofu: Serikali ya CCM ilikabidhiwa kwa mizimu wakati wa Uhuru na Nyerere

    wacha udini naizesheni sema nyerere alikwenda kwa waganga sio mashekh
  8. JIULIZE KWANZA

    Askofu: Serikali ya CCM ilikabidhiwa kwa mizimu wakati wa Uhuru na Nyerere

    kakosea alitakiwa kusema nyerere alikwenda kwa waganga bagamoyo na sio mashekh msamehee
  9. JIULIZE KWANZA

    Hivi kwanini Burundi watuzidi watanzania?

    Swali lako ndio langu naomba ajibu mwigulu nchemba cc mwigulu nchemba
  10. JIULIZE KWANZA

    Hivi kwanini Burundi watuzidi watanzania?

    Swali zuri ila burundi mbali mbona huulizi kenya? Subiri muda si mrefu utajaza kiroba cha hela kwenda kununua mkate mmoja tuu.
  11. JIULIZE KWANZA

    Nimetangaza nia ya kugombea Udiwani Kata ya Soweto Moshi

    jina lako lina tafsiri uwezo wako wa kufikiri asante sana kwaku comment...
  12. JIULIZE KWANZA

    Nimetangaza nia ya kugombea Udiwani Kata ya Soweto Moshi

    sawa sababu nimekuaga nikirudi pia nitakwambia au kukupa mrejesho sijui...
  13. JIULIZE KWANZA

    Nimetangaza nia ya kugombea Udiwani Kata ya Soweto Moshi

    Andika wewe kingereza safi uweke hapa...hujaelewa ndio maana una challenge na nilitegemea challenge kutoka kwa wenye wivu wa kike kama wewe sikushangai
  14. JIULIZE KWANZA

    Nimetangaza nia ya kugombea Udiwani Kata ya Soweto Moshi

    mtatafutana kwa tochi october 25
  15. JIULIZE KWANZA

    Nimetangaza nia ya kugombea Udiwani Kata ya Soweto Moshi

    mimi sio mangi wacha kutumia akili za ku copy naku paste mlugaluga wewe kwaiyo wanaoishi tanga wote wasambaa?
Back
Top Bottom