Recent content by Jitukuu

  1. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa hizi kazi mpo!??

    Mmmhhh niko msiban tafadhari mkuu!!
  2. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

    Ss huyo wa kizungu katokea wap kwenye familia
  3. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania DAB enzi zake akiwa Kolomije Misungwi

    Hahahaha we jamaa utachakaa kuwa makini
  4. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

    Duh au jamaa alikuwa ameiba ubwabwa wa kwenye shughuli za mashekhe
  5. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania YAH; OMBI LA NAULI

    Asante naona hii yako imefungua njia na imani hata mchango utanifanyia hivi utafungua njia kwa wengine
  6. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania YAH; OMBI LA NAULI

    Husika na kichwa cha habari hapo juu Nimepata mchumba kutoka South Africa ila ndugu yenu nauli ya kumtumia sina kumleta huku kwetu sina jamani watanzania wenzangu najua sasa ni kitu kimoja msaada wenu ndio muhimu sana ili niweze kufanikisha ndoa yangu wote mtapewa kadi za harusi bure...
  7. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Ajali

    Duh
  8. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watumiaji wa simu za Tekno huweka nyimbo za kawaida kama miito ya simu zao

    Bahati mbaya ndo ukutane na masai kaweka wimbo wa kilugha ndo utakoma
  9. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa vijana waliosomea certificate ya kilimo

    Mkuu mbona kama namba za cmu ni haramu
  10. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Raha ya mchuzi uunywe kwenye sufuria

    Nimekuja spidi nikafikir ni mchuzi ule mwingine kumbe mchuzi wa mboga!!
  11. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Wakiwezeshwa Wanaweza!

    Money say 'n' talk
  12. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Binti mwanafunzi akipata mimba baba aadhibiwe. Hii imekaaje?

    Haaa ooh my god!!
  13. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Sijui aliingiaje huyu msela

    Hapo ukiendesha tu anachomoka mwenyewe
  14. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Bongo kama Ulaya

    Bongo bahati mbaya tu kama huna hela utaishia kuwaona tu
  15. Jitukuu

    JamiiForums Tanzania Tupia Picha ya Mashabiki Waliopagawa

    Oooohoooo me nimeona green tu
Back
Top Bottom