Recent content by Jitu1978

  1. J

    Rais Samia, TTCL ni shirika lililojaa wafanyakazi wazembe

    Kiukweli taasisi zote za umma ziko hivyo lakini naona kama TTCL siku hizi wafanya kazi wakipata hayo mafaiba tifauti za zamani,mimi namshauri mama awape uwezo wa kua n hizo faiba then tuwalaumu kama shurika halina uwezo wa kupata mafaiba mengi kwa pamoja wao wafanye nini wafanyakazi. Shida...
  2. J

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Wadau mimi niko tabora ndo mtandao wangu huku nzega mitandao mingine shida ila TTCL ni baba lao naona wote mnaopinga ni upotoshaji mkumnwa voucher zinapatikana na unaweza kununua kupitia mitandao mingine kama vida pesa Aitel money na mingine hakuna mtandao kama ttcl unaweza nunua salio kupitia...
  3. J

    Tabata Kimanga hakuna mtandao wa TTCL

    Taarifa hizi sio za kweli Network ipo muda wore mimi natokea maeneo hayo
  4. J

    TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

    Ndugu wa JF naomba kuthibitisha Mimi ni Mfanyakazi wa TTCL hii habari sio ya kweli kabisa TTCL ilisha lipa Mshahara mapema kabisa watu tumepata mshahara Bank tarehe 20 hadi 21 wafanyakazi wote walikua wamepata na hii ilifanyika makusudi kabisa ili wafanyakazi washerekee sikukuu ya Christmass...
  5. J

    Tanzania Nayo Kuruhusu Ndoa Za Mashoga?

    Ukweli ni kwamba sasa dunia inakoenda siko hata kidogo ingawa wanahaki ya Kuandamana lakini haya mambo ni kinyume na mapenzi ya mwenyezi Mungu, kwani hakuuba Adam na Adam ila aliumba Adam na Eva, hata hivyo watu wakulaumiwa ni wapenzi wao wanao shirikiana na hawa watu kwani ndo wanafanya mambo...
Back
Top Bottom