Saha
Designated Savaiva,
Sahani moja kama ni chips mayai ni tsh 2000,chips kavu ni tsh 1500.....wanachuo wanapenda sana chips kavu na iliyojaa sn,nimegundua ili eneo linanitia hasara pia
MZAWA JF,
Umenichekesha pia kwenye kuonga japo Simo.....sema gharama za uendeshaji ni kubwa kuanzia mafuta,mkaa,chachandu na nk....nawaza niamie kwenye gas labda
Habari za asubuhi wadau wa JF.
Mimi ni kijana niliewekeza kwenye biashara ya chips hapa chuoni Mipango Mwanza. Kiukweli biashara ipo nzuri tu maana kwa siku nauza kilo 50 mpaka 55 za viazi, mishikaki ya ngombe kilo 2, na kuku 2 mpaka 3. Yaani gunia la viazi la kilo 100 linaisha ndani ya siku 2...
Azam wako sawa maana akina monalisa siku hizi kazi yao kubwa ni kutafsiri moves za kizungu kwenda kisw... Mfano hii ya sultan mpaka bongo movie wenyewe wanalalama, wema mwaka jana alishinda tuzo hii baada ya hapo a kaanza kuturekodia Instagram yeye na bwanake wakilambana nyeti zao hadi...
asante wadau.....tatizo nipo mwanza na hapa kuna ofsi zao lkn naona ni chenga tupu...mimi imetokea mwezi huu lkn nimeenda nimekuta wa mwezi nov 2016 bado hata makato hayasitishwa wanalia kabisa pale ofsini maana mwezi huu wamewaongezea makato
Wadau habari za mchana,
Mimi naishi Mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofisini kwao PPF PLAZA ofisi za Kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela na kujua pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.