Mi nimechaguliwa hapa mwaka huu kusomea education in special needs science subject anefahamu hii kozi upande wa ajira anijuze na mazingira ya chuo kwa ujumla nawasilisha
Anaye fahamu chuo cha Marian kilichopo Bagamoyo anisaidie wakuu mazingira yake na utoaji wa elimu kwa ujumla pamoja na sheria za chuo bila kusahau hostel kama zipo kwa first year.
Sio kweli university of bagamoyo na marian university college ni vyuo viwili tofauti japo vyote viko bagamoyo.mimi nimeomba marian university college ambacho ni tawi la SAUT ya mwz na pia nimeomba hapo bagamoyo university bsc in chemistry
Jamani mi nina cut of point 7 lakini nimeomba education tokea mara ya kwanza ninatemwa 2 na sasa wameniambia niapply 3rd round nimesoma CBG na nimeomba kozi 1 vp nitachaguliwa?.nimemaliza 2014
Jamani mimi ni muhanga wa 3rd round naomba kuuliza tumeambiwa tuchague kozi 5, vipi nikichagua moja nitapata chuo?. Pia napenda kuuliza, Je! Hii round kuna wadahiliwa wataachwa bila kuchaguliwa msaada tafadhali kwa anaefahamu.
Nawasilisha wakuu
Jamani mi naomba niulize wamesema 3rd tunaomba kozi tano je mm nikiomba 1 nitachaguliwa?.je kuna watu hii round wataachwa nawasilisha msahada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.