Kwani haya hamkuyatarajia? Kwa staili ile mlivyomshambulia Mbowe ndivy itakuwa hivyo hivyo.Kuepuka hili ndiyo maana mlishauriwa kuwe na maridhiano baada ya uchaguzi...hili lilikuwa wazo bora kabisa.
Piganeni au muamue kuvumiliana tu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Soma maelezo yako vizuri,wewe ndiye umesema kwamba 'hukatai kwamba Mbowe hakutoa mchango siku hiyo"...kwahiyo kama alitoa basi huo ni wema japo kidogo.
Okay,tufanye basi hakutoa msaada wowote kwa Lisu siku hiyo.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Lengo lao ni kuona kuna mpasuko zaidi ndani ya CDM kwasababu ina faida kwao CCM. Adui yako muombee njaa.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Unaweza kupendwa na usikubalike mkuu,kuna mgombea miaka ya nyuma alilalamika kwamba hata mke wake hakumpigia kura.
Bahati mbaya wananchi wa kawaida hawaamui nani awe kiongozi kwenye demokrasia iliyokomaa...wanaoamua ni 'ELITE '
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kama umewahi kuwa kiongozi katika ngazi yoyote basi utaelewa kwanini Mbowe bado anastahili kuwa mwenyekiti kulinganisha na Lisu.
Lema angegombea nafasi ya m/kiti na Mbowe...Lema alikuwa ni bora kuliko Mbowe kwa sasa.
Uongozi siyo lele mama,unahitaji watu walusaidie mpaka ngazi ya...
Wabongo ni washanba tu,nakumbuka mwaka mmoja maeneo ya Kawe Ukwamani nilikuwa stendi ya daladala ndani ya basi la UDA.Kwa mbele naona wanajeshi wanafanya mazoezi ya kutembea na mizigo mgongoni...nikachukua simu yangu nyeupe blackberry nikaanza kuchukua video,nipo siti ya mbele pembeni ya dereva...
Injinia Hersi amesoma elimu ya sekondari Dodoma mjini na kwao ni hapo Dodoma maeneo ya Maili mbili.Ila chuo ndiyo kasoma DIT. Kama ni kweli anagombea Kibaigwa ni sawa tu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Siyo Israel [emoji1134], ni Marekani yupo kazini mkuu.
Bila U.S.A kumsaidia Israel kwa vifaa vya kisasa vya kijeshi...hatuboi hapo.
Nb.Pitia baheti ya USA [emoji631] ni namna gani inaisaidia Israel [emoji1134].
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.