Recent content by jinyabuyaga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Samahani naomba kuuliza: Rais Kikwete ni Profesa wa nini?

    kams haeshimi nani mwingine tz anayepigiwa mizinga 21 ya kijeshi kuashiria heshima?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Samahani naomba kuuliza: Rais Kikwete ni Profesa wa nini?

    yes offcause rais wa nchi masikini kama tz lazima usafiri kutafuta maarifa ya kusonga mbele
  3. J

    JamiiForums Tanzania ITV hawajui wakifanyacho Kwa Kufanya Siasa Chafu kupitia TV yao!

    mwambie huyo hajui hata tunaenda wapi kama mbwa wa police kufungwa mikufu tu na kuvutwa yelewe mitaaa.
  4. J

    JamiiForums Tanzania ITV hawajui wakifanyacho Kwa Kufanya Siasa Chafu kupitia TV yao!

    kamuulima mzee wako ndoo anayejua mchungu ys hili taifa ndoo uchangie cyo upuuzi tu ndo utajua polepole anacho taka .
  5. J

    JamiiForums Tanzania Samahani naomba kuuliza: Rais Kikwete ni Profesa wa nini?

    Mimi ni uvccm ni profesar wa kutunukiwa kama kiongozi pekee wa africa na duniani na nikongozi pekee wa africa aliye wahi kuongea bila kuficha yanayo endelea drc na mtatuzi wa migogoro africa eg.visiwa vya komoro na s.sudan e.t.c
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    Eleweka basi utumbo peleka fb
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    huo ni upuuzi wako na ukooo wenu inawezekana hujui hata mnavyodanganywa eti serikali inasambaza umeme hayo yote ni madeni ya marekani huku unaambiwa umeme kila kona usenge mtupu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za Prof. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kitimuliwa katika ACT-TANZANIA

    Atasema neno gani c upumbavu tu(pumbavu cyo tusi waungwana)
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za Prof. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kitimuliwa katika ACT-TANZANIA

    hayo yote ni intrahamwe hayana adabu(kwa leo natumia kauli hiyo but huwez jua moyoni nimeyatukana je hayo mafisad na masakatonge hayo)
  10. J

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Panya road ni UVCCM na ndoo maana walivamia hadi kwa walioba ubg plaza police gani kama wanaweza kunasa silaha nzito na majambaz na wahamiji haram why not hao panya road kama cy UVCCCM?
  11. J

    JamiiForums Tanzania I can't let my country go to the dogs, Nyerere - 1995

    Waungwana huyu jamaa inawezekana ni kada wa ccccm lakin lazima tumweleweshe nyerere hakuwa na maaana ya ya ukawa kusema vile .maaana ya mbwa kwanzs kisiasa mbwa wanatabia ya kulindana iwapo tu wanajuana au ni ndungu kwahiyo alikuwa anamaaanisha kulindana kama hao kina lusinde,wasira,rage,na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    Huyu mhongo kwa nini anafanya ujasili katika mambo ya nchi? Sasa nasema hivii kama alisha sain na yye kuinyonya tanesko imekula kwake (ndoo maana ukawa wanataka kila siku mikataba ipelekwe bungeni ccccm hawataki kunawiz mkubwa sana)
  13. J

    JamiiForums Tanzania Escrow: Kumbe PAC walituingiza choo cha sokoni (Part I)

    Mbona mnakuwa kama akili hizipo sawa? Ww unafikili takukuru,CAG,POLICE na bunge wamedanganya?acha kupotosha umma wewe kama una babayako subili utalidhi ujinga badae tuachie kwanza hil taifa cc umoja wa katiba ya wananchi.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

    Kama utakuwa hauna uzalendo na taifa kama tz huwez kuelewa slaa anauamusha vpi umma wa watanzania ingawa mnatumia polisi wasio na elim kuwanyanyasa wananchi tofauti kabisa na kaulimbiu eti police usalama wa raia sasa toka lini police kuzuia maaandamano ya wananchi wakati hawana siraha badla ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Inawezekana napiga stori na mtu wa standard seven kama hujui hata kwamba myika kura alizoshida ubungo haxijawahi tokea kaa kimya.
Back
Top Bottom