Recent content by be unique

  1. be unique

    Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Muda mwingine tusitumie mihemko kujadili kitu, kwa akili ya kawaida unaona mvua ipo.
  2. be unique

    Tujadili kidogo kuhusu baadhi ya tabia ambazo watu huziona za kawaida ila zinakera sana

    Nilichogundua wewe ni mtu ambae unaelewa maana ya ustaarabu na jinsi ya kuishi katika mazingira. Lakini ukweli mchungu ni kuwa upo katika kundi la kiswahili ambalo sio level zako.
  3. be unique

    Twende Mbele turudi nyuma, umasikini ndio mtaji mkuu wa CCM

    Ujinga na umaskini.
  4. be unique

    Nachukiwa na bosi wangu bila sababu

    (Kiuhalisia imefika mahali Sasa ,nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi) Sasa hii ndio ilikuwa point yako ila sehemu nyingine ulikuwa unatafuta uhalali tu.
  5. be unique

    Chaguzi mbili kuu pale unapogundua mkeo anakusaliti

    Hili nalo inabidi tulitazame kwa makini.
  6. be unique

    Mwanaume jitahidi kujua msimamo wako kiimani na usimame nao kabla hujaingia kwenye ndoa

    Nilitaka kucomment kabla ya kusoma ila baada ya kusoma nimepata wazo zuri. Kiukweli awa wababa wa kiroho sio poa sasa hivi na wanawake wanavyomezeshwa ndivyo wanavyokula, ni muhimu sana kuwa na msimamo wa kiimani.
  7. be unique

    Men Code

    Ndio maana wanaume tunakufa mapema na nyumba tunawaachia wanawake.
  8. be unique

    Mnadili vipi na mwanamke ambaye ni careless

    Nilivyosoma nimegundua sio mada bali ni malalamiko kwenda kwa mpenzi wako.
  9. be unique

    Mzungu na Mwafrika wakishirikishana uzoefu

    Kuna kitu kwenye hali ya maisha wanaita GDP kama sijakosea swala la uchumi sijui wa kila mtu…kiuhalisia ni hela ya wote inagawanywa kwa kila mmoja tunapata average ila kiuhalisia sio hivo. ndio kama hapa sasa.
  10. be unique

    Mzungu na Mwafrika wakishirikishana uzoefu

    Vitu tulivyonavyo waafrika mzungu hawezi kuchukua…Ndio maana ukionekana genious sana mzungu anakuchukua maana anaona kabisa hukustahili kuwa afrika yaani upo kwa bahati mbaya tu. Uchawi,unafiki,umbea,uvivu na mengine mengi alafu bado unataka mzungu achukue nini hapa.
  11. be unique

    Natafuta kazi upande wa TEHAMA

    Hongera mkuu,ila ushauri wangu ukipata mtaji baada ya deals kadhaa. Fungua ofisi yako kwa profession kama yako unaweza ukajiajiri na kupata maokoto mengi zaidi tofauti na kuajiliwa. Think positive.
Back
Top Bottom