Recent content by Jimmywatanzania

  1. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

    Nyakati hizo kulikuwa hakuna uislam.kwahiyo mtume Muhammad alikuwa kabla ya Yakobo?
  2. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Hapo ndiyo anaomba msamaha kijanja kwa mo
  3. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa watokea katika Kiwanda cha Mafuta cha Irani huko Khuzestan

    Kwahiyo myahudi kaanzia mbali kidogo?
  4. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania KERO Uchomaji wa taka nyakati za usiku Soko la Sabasaba, Dodoma

    Kumekuwepo na changamoto kubwa ya uchomaji wa taka kwenye soko la sabasaba jiji Dodoma, nyakati za usiku. Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la "miti mirefu na PAG" imekuwa kero kubwa kwa sisi wakaazi wa uhindini. Wahusika watusaidie.
  5. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania Strikers leaving the pitch

  6. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yamkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Paul Makonda

    Hivi hizo tume za Nini?naona kama tunapoteza fedha za umma Bure
  7. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yamkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Paul Makonda

    Hivi hizo tume za Nini?naona kama tunapoteza fedha za umma Bure
  8. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Katavi: Edgar Mwakabela (Sativa255) anasema alichukuliwa Dar hadi Arusha na kisha kutupwa Katavi

    Je unapomuua mwenzako .unauhakika hutakufa?
  9. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Simba ndiye mwenye nafasi kubwa maana ni kama hajapoteza.mna roho ya paka
  10. Jimmywatanzania

    JamiiForums Tanzania Makonda kupelekwa Arusha ni mtego

    Sabaya kumbe Yuko jela?
Back
Top Bottom