Recent content by jimmykb197

  1. jimmykb197

    JamiiForums Tanzania Kabla haijaja internent

    Hii watu wa mwisho kabisa Kwa huku dar kucheza Ni watoto waliozaliwa miaka ya 1990
  2. jimmykb197

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

    Akienda kupupu pia panajisafisha penyewe?
  3. jimmykb197

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

    Kwa hizo kucha mikono yote, atampikiaje mume? Na huko alikotoka mpaka kufikia hapa amesha wehuka huyu Atafuaje na hizo kucha sasa? Au anatumia washing machine hata kufua chupi?
  4. jimmykb197

    JamiiForums Tanzania Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

    Naongelea hali halisi, Kuna watu wana uwezo wa kuwa na chochote kati ya hivyo lakini vipaumbele huamua zaidi kulingana na matumizi
  5. jimmykb197

    JamiiForums Tanzania Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

    Kwa ufahari Ni Sawa. Pia hali halisi inalazimisha lakini ukweli ni kwamba hakuna anayetaka kinyonge wakati uwezo anao
  6. jimmykb197

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa ndiye Paul Christian Makonda mwamba wa Kaskazini

    🤣
  7. jimmykb197

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    Kama hutaki kukubali sikulazimishi, Ila wapo
  8. jimmykb197

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    1000 mzee Suleiman
  9. jimmykb197

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    Uzoefu mdogo nilioupata nimegundua kuwa hata mkeo ndani ya nyumba bado unahitaji umwombe kama ndiyo unaanza kumtongoza Kwa upya. Hapo unampatia, ukifanya amri na ubabe unapoteza ladha na hamasa kwake
  10. jimmykb197

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    Wengi tu, wanaishia kuona Kwa macho Ila hawatekelezi tamaa zao
  11. jimmykb197

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    🤣
  12. jimmykb197

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    Kutokutosheka haina maana ujiendekeze, bado mtu amepewa uwezo wa kuidhibiti nafsi yake. So siyo lazima kuifuata nafsi katika kila inacho tamani
Back
Top Bottom