Recent content by jimmyb

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya anaweza kwenda chuo gani kusoma certificate ya IT?

    huyo arudie mtihani tu hawezi pata chuo cha pass 3 na hata akipata chuo huko mtaan mjue ipo siku atakwama mbeleni kuna mtu namfahamu yalimkuta mwaka jana na pass zake tatu..hana hamu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa juu ya suala la mkopo

    umezingua
  3. J

    JamiiForums Tanzania Yahusu diploma holder to degree

    hata mimi nakuunga mkono tarehe 7 maana sipendagi ujingaaa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile NACTE wamefanya selection

    hata mimi hawajanletea link ya ku view program
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kama kuna waliopata NACTE first selection

    hata mimi nmeandikiwa hivyo wait for next selection
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jamani NACTE wananiambia 'Update Qualification', hii maana yake nini?

    Jaman mimi ni diploma holder nime-aply kwenda degree ,,NACTE walishafanya tathmini ya vyeti vyangu na kuniambia "requred qulification found" Lakin cha kushangaza leo nakuta wananiambia "update qulification " na inagoma ku update hii maana yake nin jaman????
  7. J

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu degree aplication

    hivi wadau kwa wale diploma holder mlio aply kwenda degree iv ni vyeti gan vinavyoitajika kuaplod kwenye system??? plz vitaje vyote.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Apllication for diploma holders to degree

    kuwa na subira brother kuna jamaa yangu hapa tumeangaika hapa tatizo kama lako masaa matatu yamepita now ndo imekubari....... USILIPE PESA TENA WEWE USIKAE MBALI NA EMAIL YAKO WANATUMA SOON
  9. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kwa NACTE (mapungufu NOAS)

    na je vipi ukishachagua vyuo huruhusiwi kufanya EDITING ya vyuo????
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali hii imeamua kupunguza wasomi Tanzania

    acha kuongea usivyovijua wewe aliyekwambia kupata first class ndo akili ....funguka usiite watu wazembe usiwowajua...tena nna mashaka na elimu ya mdogo wako.....
  11. J

    JamiiForums Tanzania mbona vyuo vingi watu wa diploma vinatutaka wachache????(capacity ni ndogo sana)

    yaaan ngoja nipige fasta maana yake duu
  12. J

    JamiiForums Tanzania mbona vyuo vingi watu wa diploma vinatutaka wachache????(capacity ni ndogo sana)

    daaa habari wana JF nauliza hivi ukiangalia guide book ya diploma from tcu kila chuo nacho angalia naona wanafunzi wanaoitajika kwa kila coz ni wachache je ni kwamba watu wa diploma tupo wachache sana au ni vp>?????
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni nzuri kwa kufanya field za IT

    ttcl popote illipo,
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwa form 6 2016: Kuna alieapply chuo na yuko chini ya 4. 0?

    subiri neema kutoka mbinguni
Back
Top Bottom