Recent content by jimmy89

  1. J

    Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

    I doubt with that research you are referring to! An IQ of 70 and below is considered mental handcap/retardation. According to that research, do u real agree that all blacks including you, are mentally retarded?
  2. J

    MUHAS! MUHAS! MUHAS!

    Inabidi muwe na subira maana mwaka wa masomo 2015/16 ulichelewa kuisha. Kwa sasa ndo kwanza senate inatarajia ikae na kupitisha matokeo ya UEs tar 13/10, baada ya hapo washughulikie supplementary... Bt first yr wataanza kuingia mwishoni mwa October hii, then endeleeni kuwa na subira.
  3. J

    Utaratibu wa kuomba internship kwa sekta ya afya.

    Lkn unatakiwa uwe na fm 4&6 certificates, birth cert, 4 standard passports, transcript na barua ya chuo husika. Hizo ni general requirement kwa afya bt specific kwa sc. maabara fuatilia zaidi
  4. J

    Utaratibu wa kuomba internship kwa sekta ya afya.

    Tusubiri tamko la katibu wa wizara ya afya leo ili kujua nn cha kufanya next
  5. J

    Nani wa kulaumiwa juu ya suala la mkopo

    Walioanzisha utaratibu wa kutoa mikopo kwa wanafunzi hasa wale wenye kipato cha chini hawakukurupuka kijana. Wala lengo halikuwa kuwafanya wazazi wetu kubweteka km unavodai. Pengine ni mawazo yako ndiyo, huenda hujaona implication ya heslb kwako binafsi. Lkn hiki c kigezo cha kugeneralize kuwa...
  6. J

    Kubadili Chuo Kutoka Bugando Kuja Muhimbili Au UDSM

    Pole kwa kupungukiwa kaka, lkn ni kheri kwa kuwa walau kapata nafasi ya kuingia chuo. Wengi wanatamani wahamie muhas au UDSM bt intake capacity ya hv vyuo bd ni ndogo kwa sasa ni vilijaa mapema sana. Lkn yaweza kuwa bahati yake pengine jaribuni kufanya followup tcu na vyuo husika muone km...
  7. J

    Msaada kuhusu second round

    Pole sana kwa kutoappear round ya kwanza japo umejitahidi ktk ufaulu wako. Kukosa round ya kwanza haimaanishi ndo uchague chuo chochote na course yyte, hope umepitia kila chuo ulichochagua kwa round hii ya Pili....so wait selection na kuwa na utulivu coz vigezo vya kuchaguliwa unavyo
Back
Top Bottom