Recent content by Jimmy son

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

    Kuna watu hapo kariakoo wanaingiza hela kama hiyo kila siku
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Fresh ,naona over leo zipo tujarib bahat
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu vipi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Voda mmekuwa wa ovyo sana

    Mimi ni mfanyabiashara, miezi mitatu iliyopita nikashawishika kuongeza huduma ya freelancer kusajiri laini mtandao wa voda, mwezi wa kwanza na pili walinilipa vizuri, lakini mwezi huu hawajanilipa nimejaribu kuongea na Team leader na meneja hakuna sababu walionipa kufanya nisilipwe. Nimeamua...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

    Naipataje hiyo mkuu,nataka nichukue hela yako kisha nasepa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

    Mkuu nielekeze jins ya kupata hizo task
  7. J

    JamiiForums Tanzania UNWTO: Nchi 10 Zilizofanya Vizuri kwenye Utalii Duniani.Tanzania Yashika Namba 9.

    Brazilian South na Jamaica zipo wap
  8. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee wa Mjegejege afariki dunia

    R.I.P nakumbuka bagamoyo nilikutana na huyu Jamaa kusaka connection flan
  9. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume tujifunze kitu kupitia aliyopitia Mr. Ibbu

    Huyo Mr ibu ndo nani?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sioni pa kuweka code kwenye app
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

    Mimi nimesimamia makarasha na mwalo kwa zaidi ya miaka5 Nikweli biashara ya makarasha inafaida nzuri sanaa tafakali muzunguko mmoja tuu unalipiwa 10, 000 kwa bei ya chini kabisa lakini maeneo mengi wanasaga kwa 20, 000 na huo mzunguko mmoja nisawa na kusema kusaga kinu kimoja mzunguko huo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

    Ni kweli lakin lazima uwe na mwalo wa kuoshea
  13. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya hii documentary nimevutiwa kwenda kutalii Afghanistan

    Vipi kilimo cha heroine bado kipo?
Back
Top Bottom