Hii gb whatsapp ni kali tatizo lake ni mojaaa tuuu kuchelewa kupata notfication.... Yan kuoata notification zako hadii uifunguee... Wakat ile whatsapp ya kawaida ukiwasha data tuuu notification zinaingiaaa... Hapo ndipowalpofel lakin kwingine wako poa cz unaitumia vike unavyopenda upande wa...
Nashukuru pia kwa marekebisho
Kiongozi.. Mungu akubariki.... Ningependa mchango wako pia katk mada utakuwa umesaidia pia licha ya kunijenga kifikra na utashi katika uandish wa ujumbe....
Jamani nimeandikiwa hivi katika account yangu ya Loans Board. Nitarajie nini wadau? Maana sielewi nachanganyikiwa tu hapa.
Sijui ndo mwisho wa maisha yangu ya elimu. Nipeni undani wa hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.