Recent content by jimama26

  1. jimama26

    Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Kwa maimamo huu ndio jambo hili linazidi kukua kwa kasi ya ajabu sana. Hivi mnaona raha vijana kuharibika kwa hali iliyopo sasa! Kila kijana ni shoga. Kila kijana anataka kujipodoa, kuvaa kike, kuongea kike, kuelezea habari za mabwana zao vitandani tena waziwazi mitandaoni! Na kazi sasa...
  2. jimama26

    Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    At least Waziri Gwajima anapambana, na anaonyesha kuwa na dhamira safi kabisa. Wizara zingine zinazoweza kukabiliana na hili nazo ziplay part yake na si kumuacha tu yeye pakee. Kama Wizara ya Habari. Hizi online TVs, mitandaoni nako huko ni balaa. Pia Wizara ya mambo ya ndani ina part kubwa ya...
  3. jimama26

    Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

    Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako. Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu...
  4. jimama26

    Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Wewe ukilala na kuamka unamuwaza Lissu tu
  5. jimama26

    Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Tutaongozana wote kwa kweli. Hiyo nchi bora ipewe Makonda kuliko Mwigulu
  6. jimama26

    Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Huyo wa kufoka foka ananikera. Sijui anafikiri anamdanganya nani kwa kufoka foka.. Huyu ndio siasa haijui hata. Anatembea na biti ya Magufuli..
  7. jimama26

    Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

    Ila tarehe 29, 30 walimuheshimisha. Hata kama alikuwa kashatangulia, ila walimuenzi. Lazma alikuwa proud. Ila sasa to think of it, kumuondoa Polepole imewasaidia nini?
  8. jimama26

    Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Ujinga tu hii taasisi. Tunajiendea tu kiMungu Mungu. Hatuna chombo chochote cha usalama kinachofanya kazi yake.. watendaji wake wamejaa rushwa, ufisadi na ubinafsi
  9. jimama26

    Hongera kwa Waziri Mchengerwa kwa kuja na hii sera ya uwekezaji katika uzalishaji wa dawa na vifaa tiba

    Tayari mmeanza kusuka mipango ya kujichotea mahela. Pigeni, utawala wenu huu. Ila mkumbuke malipo ni hapa hapa duniani
  10. jimama26

    Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

    FA yuko chini ya GSM, huyo Bashite hawezi kumuamini wala kufanya nae kazi kirahisi. Aombe Mungu Bashite apewe wizara ‘yake’ ya mambo ya ndani ndio itakuwa salama yake..
  11. jimama26

    Kwa mateso haya ya gerezani ingekuwa ni Freeman Mbowe angekuwa ameshajipeleka Ikulu na kupewa juisi na kuwasaliti watanzania

    Huyo macho kumchuu tena!! Siku nyingi angeshakinga bakuli apewe chake mapema. Jamaa kwa hela yule hana mpinzani.. mchaga og
  12. jimama26

    PostGE2025 Tanzania kutumia takribani Sh. Bilioni 2.7 kukodi Kampuni ya Marekani ili ‘Kurekebisha Taswira ya Nchi’ baada ya Mgogoro wa Uchaguzi

    Huyu mama na watu wake wanawaza kuwa kila kitu ni hela.. Kila sehemu wanatembeza hela tangu wameingia, ila haziwasaidii kitu na hawakomi
  13. jimama26

    Mkurugenzi wa fedha na utawala NIDA yupo ndani kwa makosa ya uchochezi

    Huyu mama atavuna anachopanda muda si mrefu. Amezidi sana dhulma.
  14. jimama26

    Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu

    Alikuwa akisaifiri na Kizigha! Kila kona ya dunia. Mpenda starehe tu yule, hamna kiongozi pale
Back
Top Bottom