Recent content by jik

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Wakuu. Naomba kujua kwamba Mbowe alijuaje aina ya silaha iliyotumika kwenye shambulio la Lisu kabla ya wataalamu wa Silaha hawajafanya uchunguzi wao? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli songa mbele, upande wako tuko wengi zaidi

    I like it! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbona watoto wa Rais Magufuli siyo maarufu kulinganisha na watoto wa Kikwete?

    Good! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinakuvutia kutoka mkoa wa Morogoro (Mji kasoro Bahari)?

    NGURUKA jamani[emoji39] Mdg wng alikuwa anasoma Bigwa Sister's wakifunga shule anakuja likizo na hivyo vijisamaki, nilitokea kuvipenda sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    JamiiForums Tanzania CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Sio kweli kwamba hizo pesa walizotoa CRDB ni gawio, ni pesa ambazo walipewa ili kuinusuru miaka ya 90, sasa baada ya kuona wanaweza kujiendesha kwa faida imebidi wazichukue na sio gawio kama mpokeaji alivyokuwa anasema. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kula pilipili sana wakati Wa ujauzito je, kuna madhara yoyote kwa mtoto aliye tumboni?

    Nasikia mtoto anazaliwa akiwa na tatizo la macho? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kula pilipili sana wakati Wa ujauzito je, kuna madhara yoyote kwa mtoto aliye tumboni?

    Habari! Kama kichwa cha habari kilivyo, karibuni wataalamu kwa maoni na ushauri. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Kiu kali ya maji mara kwa mara

    Inawezekana, lkn Mungu akipenda kesho nitaenda kuchek
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Kiu kali ya maji mara kwa mara

    Sawa, nashukuru
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Kiu kali ya maji mara kwa mara

    Asante, mkuu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Kiu kali ya maji mara kwa mara

    Nipo kawaida kabisa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Kiu kali ya maji mara kwa mara

    Kadri ninavyokunywa na kukojoa ni hivyo hivyo.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Kiu kali ya maji mara kwa mara

    Habarini wanajamvi, Sijui niliite ni tatizo maana siyo kawaida yangu. Hii tabia imenianza hivi karibuni, ninapatwa na kiu kali sana ya maji ya kunywa mara kwa mara, naweza kunywa maji ya kutosha baada ya dakika mbili tena nikahisi kiu balaa hasa nyakati za usiku hadi koo linakauka. Je, kuna...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Benki gani ni nzuri kwa kufungua akaunti ya mtoto?

    NMB ni nzuri sana inaitwa mtoto account kiwango cha kufungulia ni sh. 5000/= ina riba inanayotolewa kila baada ya miezi 3 , haina gharama za uendeshaji na unaruhusiwa kutoa Mara 2 kwa mwaka pia mtt akifkisha miaka 18 ana uwezo wa kuiendesha account hiyo mwenyewe. Baada ya kufungua mtt hupewa...
Back
Top Bottom