Fanyen utafiti huu wanawake walio wengi wakiwa ndan ya magari au wakiwa nyumban au wakiwa wanatembea utawaona kila mara wakikuna nywele au kuzigusa gusa kama vile anazitengeneza lakin sivyo n kwamba ZINAWASHA MBAYA NDO MAANA MKONO HAUTOKI KICHWANI...WANAWAKE KUWEN WASAFI KILA SEHEMU
Laaah hali sio kama majambaz wanavamia mpk kituo cha polisi unategemea sehem kama benk.kwny maduka ya bidhaa ni.kama kumsukuma mlevi tu.nadhan majambaz yanatamba kwa sasa hayana mpinzan.R.I.P askari.wetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.