Recent content by jijiletublog

 1. jijiletublog

  Ni Magufuli wa kazi ndani ya Serikali na Chama, panga pangua yake haitabiriki

  Kaka Chuma sisi tumempigiankura uliza mtaani kwako nani akimpigia ndio utajua kuwa lazima kazi iendelee
 2. jijiletublog

  Ni Magufuli wa kazi ndani ya Serikali na Chama, panga pangua yake haitabiriki

  Na Humphrey Shao, Msakuzi, Dar es Salaam Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu Watanzania waweze kumpa ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano tena hapa nchini huku mambo yakiwa ni tofauti kwa Rais Donald Trump wa Marekani ambaye wananchi awajampa ridhaa ya kuwa kiongozi kwa awamu ya pili. Rais...
 3. jijiletublog

  Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

  Wenye akili ndio wanajua kuwa Magufuli kashinda kwa kishindo lakini manyumbu ayawezi kuelewa maana yanapelekwa tu
 4. jijiletublog

  Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

  Ila wewe ni mpuuzi wa maisha yako yote ndio maana unateseka
 5. jijiletublog

  Uchaguzi 2020 Maandamano ya tarehe 2 Nov: Je, Ni Demokrasia au waliokosa wanapigania Maslahi Binafsi?

  Tarehe 31 Oktoba tumeshuhudia kuitishwa kikao cha waliokosa nafasi mbalimbali za ubunge na urais ili kutangaza kufanya maandamano siku ya tarehe 2/11/2020. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, vyama vya upinzani havijawahi kukubaliana na matokeo katika kila sehemu...
 6. jijiletublog

  Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

  Tukirejea katika Bunge lililopita, laiti vyama vya Upinzani vingekuwa na Wabunge wengi, huenda wangefanikiwa kuishinikiza Serikali ifanye "lockdown" jambo ambalo kama ilivyotokea kwa nchi jirani lingepelekea mateso makubwa kwa mamilioni ya wananchi. Kwa kuzingatia ukweli kuwa uchaguzi huu...
 7. jijiletublog

  Mchawi wa upinzani Tanzania ni upinzani wenyewe

  Na Mwandishi Wetu Mchawi wa upinzani Tanzania ni upinzani wenyewe. Viongozi wa upinzani hawawezi kukwepa kuwajibika kwa matokeo haya na kutafuta visingizio ikiwemo uchaguzi kuhujumiwa. Isitoshe, Katiba na Sheria zetu za Uchaguzi zinatoa fursa kwa wagombea wa vyama vilivyoshindwa kufungua kesi...
 8. jijiletublog

  Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

  Wananchi wameupuuza uongo ulioratibiwa na Halima Mdee na genge lake Katika hali isiyo ya kawaida mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chadema, Halima Mdee alijaribu kutengeneza taharuki kwa kushirikiana na vijana wa Chadema ambapo walichukua fomu ya mfano ya kupigia kura ambazo...
 9. jijiletublog

  Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

  Katika hali inayoonekana kuelekea kushindwa kwa mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chadema, Halima Mdee wafuasi wa chama hicho wamejitengenezea karatasi za kupigia kura zilizotiwa alama ya vema kwa wagombea CCM na kudai eti wamekamata kura hizo za wizi. Katika video hiyo ya uzushi...
 10. jijiletublog

  Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

  Hizi video za tarehe 24 mara baada ya mkutano wa ACT na sio jana acha kuwaongopea watu wewe
 11. jijiletublog

  Uchaguzi 2020 Wamachinga, Bodaboda nchi nzima watoa tamko kumuunga mkono Magufuli

  IKIWA imebaki siku moja Uchaguzi Mkuu ufanyike, Jumuiya ya wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na madereva pikipiki ‘bodaboda’ nchini, wametoa msimamo wao kuwa watampigia kura mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. Wamesema hatua hiyo inatokana na mgombea huyo kubeba agenda...
 12. jijiletublog

  Tofauti ya Magufuli na Lissu kanda ya Kaskazini

  Kuna tofauti kubwa sana kati ya mgombea urais Wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wa Chadema, Tundu Lissu. Magufuli kiuhalisia ni mcha Mungu na amekuwa akionekana kanisani kila Jumapili pale Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam na wakati mwingine popote...
 13. jijiletublog

  Uchaguzi 2020 Mzee Sumaye ahoji wapi alipo Mbowe katika kampeni za Lissu

  Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe kumtelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo. Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.
 14. jijiletublog

  Uchaguzi 2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

  Wana hasira na mtu anayetaka kuweka bondi madini
Top Bottom