Recent content by jiji101

  1. J

    kwanini Tanzania

    Wadau wa soka nimekuwa nikijiuliza kwani Taifa stars au vilabu vya Tanzania katika mashindano ya kimataifa Mara nyingi mechi ya kwanza tunaanzia Tanzania? Wadau kama mtu anafahamu sababu atujuze
  2. J

    Hongera wana JamiiForums: Mbunge Nyambali Nyangwine ameanza kuwalipa mishahara wafanyakazi wake

    Ili la mafao nalo ni tatizo, maana anawakata PPF lakini hapeleki
  3. J

    Hongera wana JamiiForums: Mbunge Nyambali Nyangwine ameanza kuwalipa mishahara wafanyakazi wake

    Baada kuweka post yenye kichwa cha habari ' https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/798216-mbunge-wa-ccm-nyambali-nyangwine-awanyanyasa-wafanyakazi-wake.html na kupitia michango yetu ya wana JF mbunge uyu jana ameanza kuwalipa mishahara wanfanyakazi wake. Amewalipa mshahara wa...
  4. J

    Mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine awanyanyasa wafanyakazi wake

    Hajawai kumnunulia mfanyakazi wake Gari, Wale wenye magari wote wanafanya kazi sehemu zingine kwa nyambali ni kama part-time, fatilia taarifa vizuri kuusu nyambali. Kwa nje anaonekana ni mtu mzuri sana lakini kwa wafanyakazi wake kuwanyima mishahara kwa miezi mi3 uyu si mtu mzuri hata kidogo...
  5. J

    Mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine awanyanyasa wafanyakazi wake

    Tatizo mnachanganya siasa na uwalisia, kampuni zake zipo Dar, yeye ni mbunge wa tarime na ndio kunapo mpa ulaji kwahyo uko lazima atafany Kitu ili mumkubali, wafanyakazi wake anawabana kwa kisingizio kama utaki ondoka, kuna watu wengi wanataka kazi. Sasa ili ni tatizo. Chamsingi ni kuwasaidia...
  6. J

    Mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine awanyanyasa wafanyakazi wake

    Hawo uliowataja wanafanya kazi za mikataba, Wale wafanyakazi wa kila siku ndio wanaopata hii kadhia.
  7. J

    Mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine awanyanyasa wafanyakazi wake

    Laiti ungelijua jinsi wafanyakazi wanavyopata tabu kutokana na kutolipwa mishahara yao, husingeweza kumtetea uyu Muheshimiwa. Hapa kinachotakiwa ni kuwasaidia awa wafanyakazi kazi, kuna kampuni nyingi kama izi zinazonyanya wafanyakazi, tunakiwa tukemee kwa umoja wetu. Ebu chukulia kama ndio wewe...
  8. J

    Mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine awanyanyasa wafanyakazi wake

    Kwajinsi nilivyo ongea na hawa wafanyakazi, Muheshiwa amewajengea hofu kiasikwamba wanaogopa kudai aki zao, kama mfanyakazi ujalipwa mishahara ya miezi mitatu ( November, December na January) wapo kimya wanaogopa, na wakatimungine wanakwenda kazini weekend ata holiday.
  9. J

    Mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine awanyanyasa wafanyakazi wake

    Hapa kweli nivita Muraa, maana Leo nimepiya ofice zake za posta, wafanyakazi mpaka wanatia huruma, wanasema muda wa kuingia kazini unajulikana ila wa kutoka haujilikani
  10. J

    Mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine awanyanyasa wafanyakazi wake

    Kampuni zake zote, ya catering na publisher
  11. J

    Mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine awanyanyasa wafanyakazi wake

    Huu ni mwezi wa Tatu wafanyakazi wa kampuni za mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine hawajalipwa mishahara yao. Mbaya zaidi wanapodai mishahara yao wanatishiwa kufukuzwa kazi na kuwambia wapo watu wengi wanataka kazi kwahiyo msibabaishe. Sasa nashindwa kuelewa hawa wafanyakazi anayegemea wanaishi...
  12. J

    Mamlaka ya Hali ya Hewa sasa hivi wanafanya kazi.

    Ndugu wana JF, Taasisi hii sasahivi inajitaidi kufanya kazi vizuri kwa kutoa utabiri wa ukweli karibia 90% uwa wa ukweli, ndugu wana JF tujenge mazoea ya kufatilia utabiri wa hali ya hewa utatusaidia sana Ongereni Mamlaka ya Hali ya Hewa naona mvua inanyesha kama mlivyo tabiri
  13. J

    Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    Tanesco walivyo tangaza bei ya UMEME inapanda January mosi, watu wa GAS nao wakapandisha kutoka elfu 54 adi elfu 64, sasa sijui tukimbilie wapi
  14. J

    Mbeya derby:Prison vs Mbeya City

    Tunaomba matokeo ya uko Mbeya
  15. J

    Mbeya derby:Prison vs Mbeya City

    Naomba matokeo Kati ya mbeya city na Tanzania prison Kama umeyapata!
Back
Top Bottom