Recent content by jigoku

  1. J

    CCM haina itikadi (Political Party Ideology)

    Moja ya sababu kubwa iliyooelekea Chama cha Mapinduzi (CCM) kutawala (sio kuongoza) kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo Polisi na TISS kushindana na vyama vya upinzani hususan CHADEMA ni kwa sababu CCM hawana ITIKADI. Ndio maana leo wanajibu hoja za Chadema kwa jeshi la polisi kuvamia shughuli...
  2. J

    CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

    Akili za maccm zinajulikana kwamba ni za hovyo kwa kuwa wamelaaniwa kwa matendo yao. 1:Unaposema takwa la Katiba Mpya sio takwa la wananchi ni takwa la CHADEMA,Maccm mjuavyo wanachadema sio wananchi,Ni upuuzi 2:Aliekuambia kulikuwa na uchaguzi mkuu (General Election 2020) ni nani?upo ushahidi...
  3. J

    Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

    Hivi Mbatia ni Rais wa wapi?kwanini ameruhusiwa kuingia wakati walitangulizana na viongozi wa Chadema? Yaani walipokataliwa viongozi wa chadema,akaja Mbatia akaruhusiwa,hiyo ni kitu gani?
  4. J

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watakaopenya

    Ilani ya uchaguzi haiandikwi na mtu mmoja,Chama chochote kikiandika ilani kutumia mtu mmoja hiyo sio ilani ya uchaguzi iliyowalenga wananchi. Ilani ya uchaguzi inaandikwa na wananchi, Chama cha siasa kinatakiwa kufanya kitu kinaitwa Canvassing, lengo likiwa ni ku-identify issues zonazowahusu...
  5. J

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watakaopenya

    Nimemsikia makamu Mwenyekiti wa CCM ndugu Philip Mangula juzi akiwa ktk ziara zake sambamba na katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru wakijigamba kwamba,uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watapenya,kwamba hawawezi kushinda hata jimbo na kata yoyote. Kauli hii...
  6. J

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Mwigulu Nchemba nakuuliza Leo Mara ya pili,Ben Saanane huko wapi? Nafahamu sana jinsi ulivyokuwa karibu naye,nafahamu sana jinsi ulivyokuwa hata unahitaji ushauri wake,please tafuta namna yoyote ya kunijibu Ben yuko wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    Meya azuiwa tena kuingia kwenye kikao

    Mmepanga kimteka au? Tangu muanze kuteka,kuua na kubambikia kesi,tena siku hizi mmetunga sheria ya Money Laundering, je mme-achieve your goal? Nini mlichofanikiwa?CCM yenu imepanda chat? Mnawaza kuua tu au kuweka watu jela muda wote!!!!khaaa!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Meya azuiwa tena kuingia kwenye kikao

    Unafikiri kwa kutumia masaburi....alieanzisha vita ni maccm. Hii ni kwa sababu ya kushindwa kumnunua,sasa mmeanza Vita Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    Kwanini CHADEMA hawamtaji Mbowe kugombea Urais? Hana sifa?

    Unauliza watu potential ndani ya chadema,au ndio mawazo na ndoto za chadema ilishakufa bado mnahangaika nazo? Kama huoni potential people kutoka chadema,basi hakika utakuwa unadhani Magufuli ni potential candidate. Poor you. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    Kwanini CHADEMA hawamtaji Mbowe kugombea Urais? Hana sifa?

    Hili hao maccm uliwaonea tu,swali hili kwao gumu sana. Kwa taarifa yao mwaka 2005 mh Mbowe aligombea urais na kushika nafasi ya 3. Hata CHADEMA wanaamini na kuiishi democracy kuna both internal party democracy na democracy nje ya chama.kwa haimaanishi kwamba ukiwa mwenyekiti wa chama lazima...
  11. J

    TBC1 na Channel Ten vituo vya TV vinavyoongoza kwa ufanisi

    Hizi ni TV za Malawi au? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    Meya Issaya Mwita atinga ofisini kuendelea na kazi

    Wewe ndio hopeless moving figure,na wewe ni mnufaika wa dhuluma zinazofanywa na maccm,hakika wewe ni mwana wa shetani alieweka makao pale Lumumba. Yaani unakurupuka tu kama unatoka chooni,unajua sheria na kanuni zinazo ongoza Jiji la Dar? Nakudokezea kidogo tu,Moja ya kanuni inayoruhusu...
  13. J

    Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

    Wahuni ni maccm,ndio waanzilishi wa huo mtafaruku,na imeshakuwa ni kawaida yao,kwa hiyo ni bora tuwaseme wazi bila kuficha,wahuni maccm na hako kakurugenzi ka jiji,ndiko kalikotengeneza mpango wa kufoji jina la mjumbe ambae hakuwepo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga ahutubia maelfu, pamoja na mvua kubwa lakini wananchi wakomaa, Mdude Nyagali apata nafasi ya kusalimia wananchi

    Bravo Mh Haonga,halafu wajinga wanasema Chadema haipo....jinga kabisa hawa maccm Sent using Jamii Forums mobile app
  15. J

    Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

    Tulisema kuanzia mwanzo kabisa baada ya kulazimisha ushindi,kwamba kwa Magufuli huyu na chama chake,genge la maharamia linaenda kuweka mizizi. Watanzania wakati tukiendelea kupiga kelele wengine walisema haya ni ya wapinzani hayatuhusu,vyombo vya habari vikaandamwa tukasema Mimi sio...
Back
Top Bottom