kanisa linaweza kuanzishwa sehemu yeyote, tatizo la udini limeletwa na huyu mpuuzi mkwere raisi wa wajinga watanzania mbumbumbu, hakuna kanisa hapa tanzania linaloleta uchochezi ila watanzania wajazwa ujinga na wachochezi kama dhaifu......so you better shut up.
Kumbuka issue ya machinjio eti wakristo hawawezi kuchinja, WHY? Ajira mkuu, wanalipwa halafu wanapata na kitoeo bure......Wakristo au wapagani kwani tunahitaji kuchinjiwa na waislamu?.....noooooo.....issue ajira, so Mahakama ya Kadhi ni ajira yenye ubaguzi stop.
"Katibu mkuu wa wizara ni mtumishi wa umma, hivyo kuna taratibu na nimeshaagiza zianze" Prof. Wa Kichina.........................Rais nae asema kama Kombani Kilaza, jamani huyu jamaa kwenye hicho cheo alimuweka kwa taratibu za utumishi wa umma...........CCM fuc......off.......go to hell in 2015.
Tulinawezaje kusema kwa mataifa mengine kuwa Tanzania tunaongozwa na rais kwa hotuba kama hii jamani mbona ni fedheha.............:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::confused3:
asante sana na uchungu huu tuupeleke kwenye kura na utakuwa na maana sana kwa vijana na jamii nzima ya watanzania, kataa kanga, kofia zenye rangi usiyoipenda n.k
upeo wako mdogo na utaendelea kuwa mdogo mpaka kaburini, hapa hakuna cha chama ni facts tuuu.......toka lini pesa zakalipwa kwa magunia, viroba.....toka lini ptransaction billions zikafanyika kwa cash.........wake up you idiot.
Asante Emma, umbumbumbu huu wa aina ya TataMadiba ndio mana tunakuwa na taifa lisilojua linaelekea wapi, kila tukisema kuna tatizo la kimfumo katika serikali hii ya Mdhaifu ambaye mimi huwa namlinganisha na Chifu mmoja katika historia ya Tanzania alikuwa anaitwa Mangungu wa Kilosa, anauza nchi...
Upeo wako mdogo sana ni heri usingechangia chochote kuhusu suala hili, na nisingependa kukuingiza darasani kukuelewesha kwa nini viwanda vya Tanzania vinahitaji kulindwa............Ondoa umbumbumbu na acha itakadi kwenye suala kama hili.........St.p.d
yaani umeaandika wasifu mwepesi sana na utumbo tupu kwa sifa za mtu kuwa rais, pengine nakubaliana na wewe tuu kuwa sifa hizi ni better kuliko za rais wa sasa mwenye sifa moja tuu yaani sura nzuri kwa wanawake na ndio maana wanajitokeza watu hata matahira kutaka kugombea urais kutokana na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.