Kwema huku, nataka kujua kwa kuhusu wimbo wenye maneno haya,
Naenda Ilula kwa wakwe zangu wakanielezee, na maneno tele tele ya kwamba yeye anauwezoo,,
Leo isiwe sababu ya kunidanganya mimi Ooh na kuniharibia jina langu ehee, to tundu..
Penzi langu la kusuasua..
Nikipata jina aliyeimba na bendi...