Recent content by Jifunafu

  1. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Achana na kukimbiza Mama lishe,Mama mboga, hela zipo Kariakoo!

    Kweliii
  2. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nimeipenda iko vizuri
  3. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Furusa ya uwekezaji/Uchimbaji Geita

    Hapa ajalazimishwa mtu mkuu,Kila mtu anayo haki ya kutoa wazo lake na wala sio utapeli mambo yako wazi wa sio ujanja janja.
  4. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Furusa ya uwekezaji/Uchimbaji Geita

    Habari za majukumu wana JamiiForums,mimi pamoja na timu yangu ya wachimbaji wadogo tuna miliki mradi (duara) uliopo katika mkoa wa Geita. Duara lina vipimo vya maabara na linatafuta mbia wa kumalizia vifaa na matimba ili kufikia uzalishaji. Tofauti na miradi mingi inayofanyika kwa...
  5. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Kwa mtu yeyote anayehitaji kushirikiana katika uchimbaji wa dhahabu

    Ndio kila kazi na changamoto zake,kufirisika popote unaweza kufirisika.
  6. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Kwa mtu yeyote anayehitaji kushirikiana katika uchimbaji wa dhahabu

    Wadau,ni kwamba tunatafuta mtu wa kushirikiana nae katika uchimbaji wa dhahabu,maana yake ni kwamba,tumefikia hatua tumeishiwa lasilimali fedha,kwaiyo tunatafuta mtu atakae kuwa tayari kutuunga mkono ili tufike kwenye uzarishaji. Atakae wiwa kushirikiana na sisi anakaribishwa kutembelea site na...
  7. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Kila utafutaji wa riiki faida na hasara zipo Tembelea migodini kazi zipo nyingi tu
  8. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Kila utafutaji wa riziki faida na hasara zipo
  9. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    2. Mgawanyo wa Hisa utakuwa kulingana na kile ulichowekeza mkuu,hivyo siwezi kusema Moja kwa moja kwamba utapata hisa ngapi,hayo ni makubaliano kati yetu sisi na wewe muwekezaji.Pia maandishi yatakuwepo ikitokea unataka hivyo. 3.Taarifa za sample zipo,ila siwezi kutoa Moja kwa Moja ni jambo la...
  10. Jifunafu

  11. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Mkuu asante kwa maswali Yako. 1.Leseni baada kufatilia tulibaini Ina mtu lakini hatujataka kumtafuta kwa maana kwamba Sisi ndio wenye shamba kwaiyo ikitokea duara imefika ni lazima atajitokeza na tutakaa meza Moja na kufanya kazi pamoja endapo hatakuwa mtu wa tamaa Karibu
  12. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Asante kwa swali lako mkuu,katika uchimbaji kunapokuwa na vitendea kazi ni jambo zuri.Generator inaendesha pump, blower na Jake hama in case vinapo itajika hivyo kuwepo kwa vifaa hivyo sio jambo baya mkuu ni sehemu ya kuimalisha ofisi.Kingine kama wewe utakuja kuwekeza maana kwamba utakuwa...
  13. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Ni sawa mkuu nimekuelewa.
  14. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Hayo ni makubaliano endapo tutakaa meza Moja na kukubaliana mkuu.Hatuwezi kushindana maana tunachokitaka ni kufanikisha kazi.
  15. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Service Kuna mafundi mgodi wa msasa tunapeleka hapo.
Back
Top Bottom