Recent content by JIDAWAYA KAZAMOYO

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe afika Polisi Makao Makuu kwa mahojiano

    Magamba kibali chao kime expire,ndo maana wanahaha
  2. J

    JamiiForums Tanzania Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Mfano mzr kuna ofc kubwa ktk kata ya vijijin,MWATENGA.Dr Slaa tar 14.1.2011 aliweka jiwe la msingi.ukumbi wake watu mia
  3. J

    JamiiForums Tanzania Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Na tunafanya endless war hadi ccm ing'oke.cdm mbrl ina mtandao mkubwa wa ofc.za kupanga na zilizojengwa.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    CHADEMA inaongoza serikali za vijiji 2,na vitongoji 26,madiwan kata 2 kati 20,wengi wagombea walishindwa kwa kura 50-150
  5. J

    JamiiForums Tanzania Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Tuna uongoz toka juu hadi msingi ktk kata 15,kata 5 zilizobaki zina uongozi wa kata tu.tunaendelea kusimika uongoz wa md
  6. J

    JamiiForums Tanzania Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Na wakati wa uzinduz wa kanda ya juu kusin,sort analysis ilionyesha mbrl kuwa GREEN,Inahitaji nguvu kidogo tu kushinda
  7. J

    JamiiForums Tanzania Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Na baada ya uchaguz harakati had leo tunaendele nazo.nilipomaliza chuo niliajiriwa shy lkn nikaacha kaz ili kujipanga
  8. J

    JamiiForums Tanzania Swali: Jimbo la Mbalali, Hakuna CHADEMA?

    Nani kasema! mm ndo niligombea ubunge 2010 na kupata 33% nikiwa mshind wa 2 kwa CCM 49% Wagombea tulikuwa 5.
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM inashangaa kwa kukwama mikakati yake kuimaliza Chadema kabla ya 2015, yaanza kupata hofu

    CCM hawauwez mtiti wa chadema,cdm ni babu kubwa.kama hawaamin kuanzia sasa kila uchaguz utakaoitishwa tutawapiga 5-0
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika atangaza maandamano tarehe 16 Machi

    Maandamano ni hatua ya mwisho kabisa ya watawaliwa kumwonesha mtawala kuwa wamechoka.mnyika kapambana muda mref bungen
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kosa la Odinga na ushindi wa Kenyatta... tunalo la kujifunza

    Kenyatta pamoja na mikakati ya kampen,atashinda kutokana na wakenya kumuunga mkono ili waiaibishe marekan wanaomchukia
  12. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Julius Nyerere avuliwe jina la Baba wa Taifa

    Kweli dunia ina baadhi ya watu wenye fikra za kipopo.huwez kuleta mada ya kipuuz kama hii.yapo mambo ya msingi kujadili
  13. J

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuwatimua baadhi ya viongozi wake

    Safi sana.ni heli tubaki na wanajeshi wachache waaminifu
Back
Top Bottom