Recent content by Jichoangavu

  1. Jichoangavu

    JamiiForums Tanzania Msaada line za uwakala Mkuu Tigo, Airtel pamoja M-pesa

    Nahitaji uwakala Mkuu line 0742292940
  2. Jichoangavu

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza 350,000 ndani ya week 3

    Njoo rombo hotel shekilango muda huu tuyajenge wiki utakuwa umepata
  3. Jichoangavu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mfumo wa vyoo vya kisasa ukoje na una changamoto gani?

    Nimeweka kwangu ila Sasa situmii sio kwamba haujai ila majimaji yanapotelea ardhini ,changamoto IPO wakati wa mvua ardhi inakuwa na maji maji hivyo kama huna chemba za kutosha tegemea harufu, vitu vigumu kama vitambaa,baby wipes au peds ni hatari hivyo lazima uweke mazingira ya kuvipokea ila sio...
  4. Jichoangavu

    JamiiForums Tanzania DP World yawafungia watanzania kwenye ukurasa wa Instagram

    Tumia vpn ila pia wako Twitter
  5. Jichoangavu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

    Mkuu mtafute Dr Boaz mkumbo Instagram soma mafundisho yake google elsewhere ufanye kifupi uchawi ni wanga na sukari nilikuwa na kg 138 now Nina 72 nikiwa poa
  6. Jichoangavu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

    Upuuzi tu sijaona sehemu Musiba ameomba radhi Nini kuhangaika viongizi wa dini Kuna wakati wanatakiwa kuacha unafki Musiba anatukana wako kimya Tena wanasifia tu,Musiba anaombwa aombe radhi wao kimya ,Musiba amepelekwa mahakamani kimya,mahakama inatoa hukumu kimya Membe anataka kukaza hukumu...
  7. Jichoangavu

    JamiiForums Tanzania Bei za mafuta ya kula kwa jumla

    74_76
Back
Top Bottom