Moshi inaelekea kuwa jiji kwa siku za karibuni hivyo ukipata likizo ya miaka miwili kwa sababu najua unafanya kazi kwa mtu ndo uruhusiwe ni miaka miwili so ukifika utastaajabu sana kuliko hivi sasa kwani mpango wa mataa lami uboreshaji wa stand kuu maji taka nk
JAMANI WADAU HAABARI ZA JIONI NAOMBA KUULIZA ETI UTARATIBU WA UJENZI WA NYUMBA KATIKA MIJI NA MAJIJI, MANSPAA PAMOJA NA NYUMBA SERIKALI NA TAASISI ZAKE NI UTARATIBU UPI UNAOTAKIWA KUFUATWA NA MKANDARASI HUSIIKA PAMOJA NA KIBAO CHA UTANMBULISHO WA MKANDARASI
MFANO NIMEKUTA KIBAO...
JAMANI WADAU HAABARI ZA JIONI NAOMBA KUULIZA ETI UTARATIBU WA UJENZI WA NYUMBA KATIKA MIJI NA MAJIJI, MANSPAA PAMOJA NA NYUMBA SERIKALI NA TAASISI ZAKE NI UTARATIBU UPI UNAOTAKIWA KUFUATWA NA MKANDARASI HUSIIKA PAMOJA NA KIBAO CHA UTANMBULISHO WA MKANDARASI
MFANO NIMEKUTA KIBAO...
Mwenyekiti wa chama kikuu cha ushirika mkoa wa kilimanjaro kncu mernad swai ameandaa kiasi cha sh laki tano kwa kila mjumbe wa mkutano mkuu maalumu ili kumkingia kifua asivuliwe wadhfa huo.
Taarifa za kuaminika kutoka katika ofisi hiyo zinaeleza kuwa kutona ufisadi uliopo katika chama hicho...
Mbunge wa jimbo la rombo (chadema)joseph selasini amehamua kupangisha nyumba na kabinti kadogo (jina tunalo)mwanafuzni wa cuo cha uuguzi huruma kweli maendeleo ndio haya wabunge wengine waige
Taarifa za kuaminika toka katika familia ya mbunge huyo zinadai kuwa alifukuzwa nyumbani toka...
Ukistaajabu ya musa siku zote utaona ya firauni hii ndio hali halisi ilivyojitokeza katika wilaya ya Rombo mara baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoka makao makuu alipofanya ziara wilayani humo.
Baada ya kufanya kazi mbali mbali zilizomleta OCD wa wilaya bwana Majebere aliamua...
Ukistaajabu ya musa siku zote utaona ya firauni hii ndio hali halisi ilivyojitokeza katika wilaya ya rombo mara baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoka makao makuu alipofanya ziara wilayani humo
hali halisi
baada ya kufanya kazi mbali mbali zilizomleta occid wa wilaya bwana majebere...
Katika hali isiyouwa ya kawaia au kuaminika masikioni mwa walio wengi ni kuhusu hii dini ya jamii ya siri fremasons ambayo kwa siku za karibuni imekuwa ikitajwa sana na midomo ya watz wengi.
Hivi karibuni kuna tukio lililotokea katika shule ya st marigoreti iliyopo mjini moshi...
Umekuja vizuri kabisa mwenyekiti alikuwa akiendesha mkutano mkuu uliopita huku mkewe akiwa mochwari yaani eti ana mapenzi ya dhati zaidi na kncu kulikonimarehemu mkewe ambaye alikuwa ni mtoto wa muasisi wa mageuzi nchi edwini mtei na pia alishawahi kufilisiwa na shirika moja kutokana na utapeli wake
tra je imekuwa ikilipwa kodi?je idara ya kazi kwanini haitaki wala kujishughulisha na migogoro y awafanyakzi hawa kuna vyama vya wafanyakazi kama ilivyo kwa taasisi mbali mbali?takukuru mpo wapi?ila kama takukuru na polisi wanapewa mafuta na huyu bwana uchunguzi utafanyikaje hapa sasa na kama...
kwanza hayo siyo malalamiko ni taarifa tu au kwa kuwa first born wa mh yupo hapo kazi ya utafiti kupitia vyombo husika haitafanyika hata hivyo taarifa ni mchangiaji mkubwa kwa kile chama cha gamba ila kwa sasa amehamia upande wa pili wa shilingi baada ya kuona free 1961 ambaye ni kaka yake...
gomeni tu kama kilio chenu hakisikilizwi njia pekee iliyobaki ndio hiyo au muandamane na sijui itakuaje na kahawa hakuna tender mmnenyiwa ya kusambaza sukari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.