Recent content by Jicho la Kakakuona

  1. J

    JamiiForums Tanzania Unapotelea wapi umakini wa vyombo/vyanzo vyetu vya habari?

    Vyombo vya habari ni sehemu na kiungo muhimu kwenye jamii, katika kufundisha, kuelimisha na hata kuonya juu ya mambo yanayoendelea katika jamii husika. Hapa nchini Tanzania, kama nchi zingine tunavyo vyombo vya habari kama Vituo vya Runinga, Magazeti, Redio n.k Moja ya habari, Leo, katika...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Membe ni tajiri wa fikra, taaluma yake haina chembe ya shaka

    Uzi wenye akili kama huu, Akili ndogo haziwezi kujibu....wataishia kutoa sweeping statements tu! Asante mtoa uzi!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge 150 wa CCM wajitosa kumuunga mkono Lowassa

    Inasikitisha kuona mbinu hafifu sana Ndugu Edward na Kambi yake wanazotumia. Kutoa watu sadaka na kadhalika. Maskin wabunge hawa waleishwa manen pasipo wao kujua. Mbinu chafu na hafifu sana. Mbinu zisizokua na chembe ya akili hata kidogo. Mbinu za kivivu. Mbinu za kupandikiza chuki. Mbinu za...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Let’s choose true reformists come october 2015

    Stay in the loop for my next peace of writing to learn about what he has done in all those years of service.....
  5. J

    JamiiForums Tanzania Let’s choose true reformists come october 2015

    Tanzanians are in a very active political mood, if the debates currently going on in the media, the internet, social places, centres of worship and even in our homes are anything to go by. The political mood towards the next presidential election continues to generate a lot of heat among many...
Back
Top Bottom