Recent content by jibunge

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Watanzania mmelogwa! Hii wala sio maada ya kupoteza muda wenu. Tuliobaki tusubilie vifo vyetu wala hatujui vitakuja kwa namna gani. R.I.P Mchungaji Mtikala, hiyo ni safari ya wote na kila mmoja atatoka kwa njia na utaratibu wake aliowekewa na Mungu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dalili mbaya za kushindwa kwa ukawa/chadema

    Unaposema ccm bado inapendwa vijijini na kuchukiwa mjini unamaanisha nini? Watu wa vijijini ni wajinga sana au! Endelea kujipa moyo na ccm yako.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kikwete mweledi pekee mchakato wa Katiba

    Wana JF, mimi binafisi napingana na prof. Kitila Mkumbo kwa hili. Isipokuwa kielimu nakili kuwa ni mzuri sana. Nasema hivi kwa sababu ni mwalimu wangu, nanilikuwa namuelewa vizuri sana wakati ananifundisha somo (course) ya adolescent Age na mpaka saa hii mojawapo wa mchango wake wa elimu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kikwete mweledi pekee mchakato wa Katiba

    Wana JF, mimi binafisi napingana na prof. Kitila Mkumbo kwa hili. Isipokuwa kielimu nakili kuwa ni mzuri sana. Nasema hivi kwa sababu ni mwalimu wangu, nanilikuwa namuelewa vizuri sana wakati ananifundisha somo (course) ya adolescent Age na mpaka saa hii mojawapo wa mchango wake wa elimu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Vimemo vya Sitta kwenye Bunge Maalumu la Katiba vyatikisa kwenye mitandao

    Mtatukana sana, lkn ukweli ndio huo. Mbona audio hamuiongelei? Mlisha umbuka tu. Sijui mtajificha wapi, labda kijijini ambako hawawajui vizuri, lkn mijini ni ng'oooo ....
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Katiba yakwama, Zanzibar wapiga kura kuikataa, Washindwa kufikia 2/3 majority

    Natoa pongezi sana kwako mkuu. Nimekuelewa vizuri sana na hii ni kwa sababu ninavi elements za hesabu kwa mbali. Hofu yangu ni kuwa hawa magamba walishazoea kuchakachua. Kwa malezo na ufafanuzi wako mpaka sasa rasimu imekwama. Lakini hofu yangu nahii ninafikiri ni kwa sababu sijuii vizuri...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne 30 Septemba 2014- Upigaji Kura, Katiba Inayopendekezwa

    Hivi hiyo Laptop uliyopewa na CCM muda wake haujaisha urudishe! Yaani wewe ni mburukenge bila mkia.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Wazanzibar kuizika tena Zanzibar jumatatu

    Mkuu umenena, huu utatu ni shida tupu. Utatu mtakatifu mpaka leo tunabishana, serikali 3 zimegomewa. Daaa!!!!!!!!!!!
  9. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA same magharibi yapata msiba mzito, maandamano yasitishwa

    Bwana ametoa, bwana ametoa jina lake lihimidiwe.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu wapya wa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Ulitaka atokee mkoa gani? Anatoka mkoa mmoja na mama yako. Umelizika sasa, nyambafu sana wewe mkabila.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu wapya wa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Anatokea mkoa wa mama yako. Mkabila wewe, nyambaf kabisa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwl. Kashindye ashinda na kuwa mwenyekiti CHADEMA Igunga

    Watasema hivyo kweli kwa sababu ni wadini. Katika CDM, mtu huchaguliwa kwa kuomba uongozi. Ningumu sana kuchagua watu ambao hawakuomba uongozi eti kuwa ni waislamu tu. Pia wakumbuke kwamba ukiongelea ukristu na uislam kwa wasukuma utakuwa unapoteza muda wako. Wasukuma wengi wanaitwa majina ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mwl. Kashindye ashinda na kuwa mwenyekiti CHADEMA Igunga

    Hongera sana kamanda! Sasa Tabora kumekucha, Naomba tuende hivyohivyo mpaka ngazi ya mkoa. Eheee, Chadema mwendo mdundo.......
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tutake tusitake, CHADEMA inastahili haya

    Mburukenge wewe! Unajisifu critical thinker na wakati huna lolote.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Nipo tayari kukutana na UKAWA

Back
Top Bottom