CHADEMA same magharibi yapata msiba mzito, maandamano yasitishwa

CHADEMA same magharibi yapata msiba mzito, maandamano yasitishwa

mtendaji wa kijiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
533
Reaction score
115
Ndugu Wana Jamii: Hakika Mungu Ametoa Na Mungu Ametwaa, CHADEMA Wilaya Ya Same Imepata Pigo Baada Ya Kuondokewa Na Naibu Katibu Wa Chadema Kata Ya Makanya Ndugu Andersoni Nikundiwe Ambaye Alifariki Majira Ya Asubuhi Leo 20/09/2014, Ikumbukwe Ndugu Andersoni Alikua Mstari Wa Mbele Katika Kuijenga CHADEMA Kata Ya Makanya Na Ndie Aliekua Mwasisi Wa Ujenzi Wa Ofisi Ya CHADEMA Kata Ya Makanya, Alitumia Muda Wake Mwingi Nakujitolea Katika Shughuli Za Chama Uongozi Wajimbo Kamwe Hautasahau, Ikumbukwe Kata Ya Makanya Ni Kapta Pekee Ambayo Inaongoza Kwa Upinzani , Taratibu Za Mazishi Zinaendelea Nyumbani Kwake Makanya Na Baada Ya Familia Kutujuza Atakapo Zikwa Tutawajulisha Wote, Mungu Ametoa Na Pia Ametwaa
 
Hakika kazi ya Mungu haina makosa..

Rest In Peace Kamanda mchango wako daima utakumbukwa na makamanda tutaenzi kazi yako daima..

Mbele yetu nasi nyuma twakuja..... AMEEN
 
Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu,familia na wadau wote wapenda mabadiliko..
 
Poleni sana ndugu na jamaa na cdm yote kwa jumla mungu aiweke roho ya kamanda pahala pema
 
Poleni wafia tu wasafiri,mwendeleze yote mazuri aliyowaachia.RIP KAMANDA.
 
Musiisahau familia yake kwa rambi rambi

R.I.P Mingoi Bwana ametoa na bwana ametwaa, ulaaniwe huko uendako na adhabu ya kaburi ikutafune sawasawa.
(Wewe akili huna kabisa watu wapo kwenye majonzi wewe unaleta ujinga)
 
Back
Top Bottom