Recent content by JIBU 22

  1. JIBU 22

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

    Tumikia ndoa acha ufala,ukiachika uanze kuomba ushauri.Tulia si ulipenda mwenyewe
  2. JIBU 22

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu upokeaji mizigo kwa kampuni ya Naparex courier company

    Nisaidieni jamani, Nimetumiwa mzigo kutoka Londoni na kampuni la NAPAREX COURIER COMPANY. Aliyenitumia mzigo amesema amekosa kampuni ya kusafirisha mpaka Tanzania. Hiyo kampuni inaleta mzigo East Africa.Je mzigo ukifika nafikishiwa nilipo au na ufata nisaidieni jamani sijaelewa
  3. JIBU 22

    JamiiForums Tanzania Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

    Chukua Toyota Premio old model
Back
Top Bottom