Recent content by Jhnmk

  1. J

    Inakuwaje Mwanafunzi wa Form Six kusoma Diploma sawa na Form Four failure?

    Mwambie aende tu Kuna watu nimesoma nao walikuwa na degree za ualimu na wakarudi kusoma diploma course za afya
  2. J

    Nashindwa Kuapply Kazi ya Ualimu kupitia Ajira Portal

    Andaa vyeti viwe na mhuri wa mwanasheria kwanza
  3. J

    Wanafunzi wa Law School wengi ni vilaza, walipata Division 3 au 2 sekondari

    Sasa mkuu kama mtu advance amesoma HGL unadhani maswali ya chemistry na biology atayaweza punguza lawama mzee
  4. J

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Hakikisha passport yako umei scan itakubali chap Tumia camscanner ui scan picha yako halafu upload
  5. J

    Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au duka la dawa

    Mimi ni kijana mwenye diploma ya pharmacy natafuta kazi ya pharmacy au duka la dawa naishi dar
  6. J

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Hiyo picha kama unayo i scan kwa kutumia cam scanner kama huna cam scanner i download
  7. J

    Msaada kwenye ajita portal inaishia hapa

    Wakiweka hivi ina maanixha nn
Back
Top Bottom