Recent content by jfour yusuph

  1. jfour yusuph

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Wema najua ni kwa nn umeamua kurudi ccm lkn ebu fkilia kwa jicho la pili walivyo kuahidi alafu wactekeleze utakuaje? yaani nyumba wakabomoa na kesi yako wakakupiga mvua utafanya nn? Umefkilia sawa lakin hujaangalia kwa jicho la pili, huko uliko umejialibia ni bora tu ungebaki ulipo kua mwanzo...
  2. jfour yusuph

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Asante saana mange kwa kutujuza hili jambo kabla ya kutokea najua wema c kwa moyo wake mmja bali kwa matatz utafanya nn ata km ungekua ni ww umeambiwa uhamie ccm ucpo hamia nyumba inabomolewa na kuhusu kesi yk lzm ufungwe
  3. jfour yusuph

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Daaah wa jamaaa wanasumbua xaana yaani kila cku me natumiwa msg cha ajabu wananamba xote zng.
  4. jfour yusuph

    Picha: Mama Wema akiwa Nairobi kumuona Tundu lissu

    Wakomae huko huko wasijalibu kuvua gwanda kamanda sifa yake kupambana wala si kuogopa mashambulizi
  5. jfour yusuph

    Mwanamke anaweza kusababisha mwanaume akakosa nguvu za kiume

    Karibu wanafamilia wa JF kwenye makala yangu ya mapenzi, Tatizo la mwanamke kumfanya mwanaume akose nguvu za kiume ni kwamba kama kweli tatizo hilo linasababishwa na mwanamke binafsi, basi yule mwanaume ataweza kuwa na nguvu kwa wanawake wengine ila kwa sababu zao binafsi, mwanamke anaweza...
Back
Top Bottom