Mkuu ahsante, ila nimeenda huko, nimeenda website ya nacte na ya veta lakin sijafanikiwa kupata nilichokihitaji, kama unaweza nisaidie hata link niifuate
Habari wakuu,
Naomba Kuuliza kwa yeyote anayefahamu au mwenye mawasiliano na vyuo tajwa hapo juu.
Maana kuna mtu nataka ni mfadhili kwenda kusoma moja ya chuo hicho kwenye fani ya Ordinary Diploma in Culinary Arts (food Production) au Ordinary Diploma in Food Technology and Human Nutrition...
Mke wangu alikuwa mjamzito, alienda kwao kujifungua na sasa anamtoto mchanga, bado hatujapata mazingira mazuri ya kufanya kwa maana bado yupo kwao, (mkoani)
Naomba nianze kwa kujitambulisha,
Mimi ni kijana mwenye umri zaidi ya miaka 30, fani yangu ni Udaktari. Nimetanguliza hayo ili mnielewe vizuri nitakachoelezea hapa maana ni kitu kilichonisumbua na kukifatilia kwa mda mrefu sana, nitajitahidi kuelezea kwa kifupi kadri niwezavyo.
Kama kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.