Recent content by JFK wabongo

  1. JFK wabongo

    Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

    Eden ndo ilikuwa Iraq au Adam ndo aliishi Iraq baada ya kufukuzwa Eden?
  2. JFK wabongo

    Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Ndiyo alirudi chuo, swali ni chuo gani? UD au Kairuki?
  3. JFK wabongo

    Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Kabla hajaachia uVC amuulize Ndalichako yaliyomkuta alipojiuzulu ukatibu mtendaji wa NECTA
  4. JFK wabongo

    Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Bora aombe radhi, asijaribu kujiuzulu labda tu kama amejipanga kiuchumi. Akijiuzulu uVC ndo anakuwa amejiuzulu utumishi, na mafao hatayapata leo.
  5. JFK wabongo

    Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

    Siyo kweli. Adam na Eva walikaa Eden kitambo kidogo sana. Baadae walifukuzwa Eden baada ya kutenda dhambi. Walipofukuzwa Eden walienda kuishi wapi?
  6. JFK wabongo

    Je, Matumizi ya kila siku ya Fridge, Blender, Pasi, Jiko la umeme n.k naweza vuka units 75 kwa mwezi?

    Huo mwezi wanauhesabu vipi? Kila mwezi wa kalenda au kila baada ya siku 30?
  7. JFK wabongo

    Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

    Hizo ni conspiracy theory tu. Unajua ni lini hiyo mito ilibadilishwa majina ili iendane na majina ya kibiblia? Palipokuwa na Eden mito yake haiwezi kukauka.
  8. JFK wabongo

    Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

    Unaijua vizuri ramani ya Tanzania? Unajua mito mikubwa ndani yake ilivyokaa? Unajua majina ya hiyo mito ya Iraq yalibadilishwa mwaka gani ili kuendana na majina ya mito ya Eden yaliyoandikwa kwenye Bible?
  9. JFK wabongo

    Kwa wanaoamini kila kifo ni kwa sababu ya CORONA msikikilizeni Baba Askofu Kasala

    Kuna kitu hakikosawa kwenye maelezo yako. Ni kama ulishindwa kumwelewa Askofu. Yeye kaongelea teolojia ya kifo wewe unaongelea korona. Kwa kifupi umemlisha maneno
  10. JFK wabongo

    Jaji ashtuka kugundua watoto watatu wa ndoa si wake

    Kuchapiwa ni adhabu kwa mwanaume mkaidi wa maagizo ya Mungu. Kumb 28:30a inasema 'Utaposa mke na mume mwingine atalala naye'
  11. JFK wabongo

    Kama huna pesa nyingi weka ndani, benki zinaiba kimya kimya

    Hasira za nini? Kwani wewe ni bank teller? Relax, huwezi kupunguzwa kazi kutokana na huu uzi
  12. JFK wabongo

    Kama huna pesa nyingi weka ndani, benki zinaiba kimya kimya

    Kutokana na andiko hili naweza kufupisha kuwa: 'benki ni kwa ajili ya usalama wakati wa kutuma au kupokea pesa' tu! Nje ya hapo, usilaze pesa benki.
  13. JFK wabongo

    Nilivyomalizana na aliye ninyang'anya mke wangu kisha kunikodia wahuni wanipige

    Hapo aombe tu Boloy afie gerezani vinginevyo huo ni uadui tayari. Haujalishi yuko na mke au wameachana. Mr Boloy atalipiza kisasi cha kumfunga jela miaka saba.
Back
Top Bottom