Recent content by JF Toons

  1. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Mitaa ya kwenu kimeshapita hiki Mdau?

    Wakuu, Kishingo anauliza, mitaa ya kwenu kimeshapita? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  2. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Vipi mdau, umeelewaje katuni hii? Upi mtanzamo wako kwenye katuni hii?
  3. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Unadhani katuni hii inamanisha nini mdau?

    Eti mdau umeelewa nini kutoka kwenye katuni hii?
  4. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Nani ni nani leo Mtani?

    Ni Yanga au Simba?
  5. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Kutokana na katuni hii umeelewa nini Mdau?
  6. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Pole sana Mkuu
  7. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Na hukuuliza kwanini ilikuwa hivi Mkuu?
  8. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Nani kufuzu nusu fainali leo kati ya Wananchi na Wenyenchi?

    Mtaniii, Leo usiku zinatarajiwa kucheza mechi mbili za kihistoria ambapo Simba na Yanga zitakuwa ugenini kwenye ng'we ya pili ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa. Simba wapo Misri kumenyana na Al Ahly wakitafuta kupindua meza baada ya kupoteza mchezo wa nyumbani kwa bao 1-0! Yanga wapo...
  9. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Umeelewaje katuni hii Mdau?
  10. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Unadhani nini kifanyike ili kuwe na uwajibikaji katika ripoti hizi?
  11. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Kutofuatilia ndio suluhisho Mkuu?
  12. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizo. Ufuatiliaji wa uwasilishwaji wa ripoti hizi ni muhimu kwa wananchi ili...
  13. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Usipopiga kura kumchagua kiongozi unayetaka, watakaopiga watakuchagulia usiyemtaka

    Nini kifanyike ile kadi yako itumike kwa matumizi yake kusudiwa, kupiga kura?
  14. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Usipopiga kura kumchagua kiongozi unayetaka, watakaopiga watakuchagulia usiyemtaka

    Wewe unashauri nini kifanyike?
  15. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Usipopiga kura kumchagua kiongozi unayetaka, watakaopiga watakuchagulia usiyemtaka

    Tume sahihi ni ipi Mkuu?
Back
Top Bottom