Recent content by jey n

  1. jey n

    JamiiForums Tanzania Vitz new model au toyota ist

    Sidhani kama inaweza kuwa hiyo bei ,ntapita hapo wiki hii nione .
  2. jey n

    JamiiForums Tanzania Toyota vitz 2011 inakula sana mafuta

    Hahahah!!bado naipenda siwezi kuuza kwa sasa wacha nicheck plugs
  3. jey n

    JamiiForums Tanzania Toyota vitz 2011 inakula sana mafuta

    Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli??
  4. jey n

    JamiiForums Tanzania Vitz new model au toyota ist

    Bila shaka itakuwa ya piston 3
  5. jey n

    JamiiForums Tanzania Video: Wakamatwa wakitengeneza 'Oil fake' za TotalEnergies

    Mkuu mkuu unatumia vitz ya mwaka gani??yangu inakula mafuta 8.8km/L naona hali sio ya kawaida
  6. jey n

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata AVN ,nataka kukushtaki chuo

    asante kwa ushauri asante mpaka leo nashindwa kuendelea na chuo.
  7. jey n

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata AVN ,nataka kukushtaki chuo

    Utaratibu ni mpaka chuo wapeleke matokeo aisee.
  8. jey n

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata AVN ,nataka kukushtaki chuo

    Habari za muda jukwaa la sheriff,nimemaliza chuo tangu 2020 lakini mpaka leo sina AVN ili niweze kujiunga na masomo ya chuo kikuuu. Sasa basi baada ya kuona napigwa danadana kwa kutopeleka matokeao yangu Nacte,sasa nafikiria kwenda mahakamani. Naombea ushauri wanasheria kwenye hili.
  9. jey n

    JamiiForums Tanzania 2026! Mambo muhimu ya kuzingatia kiuchumi kabla ya kuanza ujenzi

    Umenyooka QS
  10. jey n

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    ndo nn hicho??naomba elimu
  11. jey n

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Hivi AVF inayofanyika muhimbili imekaaje??
  12. jey n

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Chuma naona umeme mwingi sana,nimeipenda asee
  13. jey n

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupunguza Mafuta Mwilini

    ni kwamba umapatikana mwanza au typing error
  14. jey n

    JamiiForums Tanzania Kuunguza unene na kitambi

    na Kuondoa mafuta ya cholesterol je??
  15. jey n

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

    ila wanaofanya utekaji wao wanatunza amani ya nchi??safi
Back
Top Bottom