Recent content by jewellery dealer

  1. J

    TRA ni kiboko sasa

    Kaka jana nimesema "mjinga muache na ujinga wake ukibishana nae unakuwa mjinga" wengine hapa kodi gani inalipwa hawajui wewe piga hatua na tra wasikuzingue sasa tuntumia sheria yao wenyewe kuwakomoa
  2. J

    TRA ni kiboko sasa

    Mashine zenyewe za efd siku 3 sasa zinasumbua network hata z report hazitoi....waambie hao watu wa tra wakuonyeshe sheria ya hotel na huduma inayosema utoe risiti kabla mteja hajafanya chekout...wakikutisha wanaandika faini waambie sawa andikeni halafu hakuna kulipa
  3. J

    TRA ni kiboko sasa

    Kaka umesema ukweli hapo hao tra walikuja kwetu wakajua watakula hela nikawafuata hapo gerezani nikawafyatua wakatulia wenyewe ...eti wasema mteja akilala mpe risiti hata kama hajalipa na kama akicancel kulala zaidi ya siku moja basi uandike barua kwao ....pambaaf
  4. J

    Mgomo wa wafanyakazi wa EPS wa kudai haki zao

    Acha uongo hapo rita ndo kituo chao kila siku saa moja na nusu wanakutana hapo
  5. J

    Mgomo mwendokasi gerezani terminal

    Siku zote mjinga ni mjinga tu ukiambiwa nenda shule unakimbilia kulima kwa jembe hujui makonda ni mkuu wa mkoa?
  6. J

    Mgomo mwendokasi gerezani terminal

    Mabasi za mwendokasi muda huu walifungiwa geti na wananchi wenye hasira kali baada ya kusubiria mabasi za mwendokasi kwa zaidi ya lisaa....wananchi waliimba "Tunamtaka Makonda" polisi waliishia kuangalia tu mabasi za mwendokasi zimezuiwa nje ya geti
  7. J

    Msaada: Huyu Dada nimfanyeje?

    Gawa namba yake tutampangia foleni wewe atakusahau
  8. J

    Nini Kimeikumba UDSM? Universities bora afrika 2018

    Udsm siku unajifunza mapenzi sio masomo
  9. J

    Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Kaka jaribu kwenda kwa mwenyekiti wa mtaa akuunganishie kwenye vituo vya misaada au hata kwa makonda au kina mondi au nenda clouds
  10. J

    Jinsi mtoto wa Kishua alivyokimbia kutoka guest na pichu Mkononi

    Story kama hizo ziwe banned humu instead zije ideas za maendeleo tu
  11. J

    Msaada, KITAMBI changu kimegoma kutoka licha ya mazoezi makali.

    Hiyo kitambi umepata ndani ya wiki 3?kwa hivo kuondoka pia itachukua muda na wewe mazoezi hayo kama unaita makali basi pole sana mtu wa mazoezi hunywa lita 4-5 ya maji
  12. J

    Top 10 richest people in Tanzania (orodha ya matajiri 10 Tanzania)

    Weusi wanawaza kutomba tu na kushindana nani ana kiba[emoji817] na nani ana muhogo mkubwa
  13. J

    Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio

    Na wewe pia c umetokea katika eneo mojawapo?kumbe watoa sifa zako mwenyewe ulivo
  14. J

    Black women are sweet

    Mnaendekeza madhambi ndo maana gift ya ukimwi mmepewa
  15. J

    Tuache dharau kwa wanaume wa DSM! Kila siku Wanaume wa Dar, wanaume wa Dar.. Huu ni udhalilishaji

    Jamani Matajiri wa Tanzania wako mikoani au Dar?walipo matajiri ndo ujue kuna wanaume ......Diamond na Ally kiba wapo mikoani au Dar?
Back
Top Bottom