Hiiii kitu inaashiria nini wapendwa maaana kwa hesabu chache hao wanafika ka watu kymi na tano kuuawa kwa risasi wilyani humo .Ombi serikali ifanye uchinguzi ili kubaini ka ni magaid wanatokea wapi na kwanini wanafanya ugaindi eneo hilo tu
Kwani Nape kakosea wapi?Tatizo la tz mtu akisema ukweli mbaya acha atoe ukweli na huo ndo ukweli ambao tunauamini wengi na kama nyie mnaukweli tofauti na wa Nape si mtoke hadharani mtwambie
Elimu yangu ngazi ya cheti (certificate in nursing and midwife) weza wasiliana nami 0655074345
Email :jestofrancis@yahoo.com
Niko tayari kiufanya kazi hospitali yoyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.