Thamani ya Kitabu cha Lissu hata ikiwa zaidi kwa ya $2,000 kitapata soko kubwa duniani maana ni zaidi ya vivutio tulivyobarikiwa Tanzania. Ni cha muhimu pia kwa vizazi vyetu.
Yule mtoto alijibu kwenye mtihani wake wa National Kati ya hazing Tatu za Tanzania mojawapo alijibu Tundu Lissu... Na...
Ametumia lugha nyepesi na laini sana kuelezea, kwa kifupi anaeleweka hata layman mwenye kuushughulisha ubongo wake kufikiri atamuelewa kuliko like bandiko la BoT
heshima yenu great thinker,
nahitaji kufahamu taasisi/mwenye mapenzi mema ambayo inatoa mkopo kwa masharti nafuu ... nahitaji capital $500 ya haraka ambayo nitarejesha ndani ya mwezi mmoja.
Natanguliza Shukrani kwako muungwana utakayeguswa na kuniongoza kupata hitaji langu na Mungu akubariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.