Recent content by jessenmutta

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kukusanya kodi trilioni 8 kwa mwaka kutoka kampuni za simu tu

    Kaka umetisha sana hesabu, yan hata isingekuwa hiyo 10%, let's say wafanye 5% tu maanake 2ngepata around 4T. That's more than what we get now. Congratulation for your good idea.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    CTU ume2danganya... Hakuna list kama hyo bana. Gates, Buffet wapo juu kama kawaida.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    S0239/0039/2011
  4. J

    JamiiForums Tanzania Majibu ya TCU bado hayajatoka?

    Kama Kuna m2 anajua lini post za TCU ztatoka naomba a2juze.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nilitamani sana udaktari ila kwa hili lazima nibaki chuo

    Kazi zote ni Kazi nzur, suala la income linategemea mipango yako mwenyewe na jinsi unavyoji2ma, sababu kuna madaktari wanaearn zaid ya lectures na Kuna lectures wanaearn zaid ya madaktati. Kuwa lecturer make sure performance yako chuo inakuwa nzur at least GPA ya 3.8. Ushaur wangu ni usichague...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuona vitu ambavyo vitanitokea, hii inatokana na nini ?

    Kinachotokea hapo ni delay kati ya macho after kukiona ki2 na brain kuinterprete Hilo 2kio. So unakuwa ushaliona 2kio na kusikia kilichosemwa then wakati brain inainterprete unakuwa unaona kama 2kio linajirudia. Hakikisha unapata mda Mzur wa kupumzika na kupumzisha akili yako.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Anaweza kupata nafasi UD kwa matokeo haya?

    Hata hkl anaapply
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kusomea urubani

    Nimemaliza degree ya computer engineering Lakin moja ya ndoto zangu ni kuweza kupaisha ndege. Sasa nataka kujua kama Kuna chuo chochote cha urubani Tanzania kinachotoa walau short course za urubani ili nijiunge nacho na kuanza kusomea urubani.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Anaweza kupata nafasi UD kwa matokeo haya?

    Kwa UDBS hyo ndo at least Haina competition.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Anaweza kupata nafasi UD kwa matokeo haya?

    friend yangu ana div 3.10 HGL (BBC), ameapply Law UDSM as first choice ambapo wanahitaji wa2 161 na mpaka sasa wameapply wa2 1495, na course ya pili ni Bcom marketing wanahtaji wa2 71 na washaapply wa2 575. Je kutokana na ujuzi wenu wa matokeo ya A-Level this year anaweza pata kati ya hzo course...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Anaweza kupata nafasi UD kwa matokeo haya?

    Nina rafiki yangu ana div 3.10 HGL (BBC), ameapply Law UDSM as first choice ambapo wana hata jina wa2 161 na mpaka sasa wameapply wa2 1495, na course ya pili ni Bcom marketing wanahtaji wa2 71 na washaapply wa2 575. Je kutokana na ujuzi wenu wa matokeo ya A-Level this year anaweza pata kati ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

    Kuna statement hapa inasema "where as 1 are eligible and 0 who are eligible for this program have selected it as a first choice", inamaanisha nini? Msaada wako please.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Business Opportunity - kuwa wakala wa benki

    Ni kwa mikoa gan?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015

    Lissu mlopokaji atamuongoza nan?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Eti 17000 hawawezi kuchagua/pendekeza mfumo wa serikali 3

    Katika Hao 17000, ni asilimia 10.4 tu ndo waliongelea suala muungano, ambao ni wachache sanaa. Lakin pia suala la serikali Tatu haliwez jadiliwa wakati genge la UKAWA Lipo nje ya bunge. Warudi bungeni ili wakajadili then wananchi 2taamua kwa kupiga kura.
Back
Top Bottom