Recent content by Jesse008

  1. Jesse008

    Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Maan ukinunua share unakuwa part ya kampuni na sio gold kwa hyo mtashare faida na hasara za kampuni...
  2. Jesse008

    Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Yes bro lakini tofautisha kampuni inayomiliki dhahabu na mtu anayemiliki dhahabu mfano tu what if barrick went bank rupt na umenunua share zake??? na wew unaangalia upande mmoja tu wa bei ya dhahabu???
  3. Jesse008

    Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Kununua,stock ya barrick sio kumiliki gold bro ...maan hapo lazima uwe unafuatilia news za barrick.
  4. Jesse008

    Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Nakampuni nyngne zinazotoa huduma za gold online zinazokubali hapa tz wanakuwa waklnalist gold kama stock so unakuta hyo kampun ikipata hasara pia na wew unapata japo huwa wanafichaga..na huwa hizo kampun sio asilimia mia moja huwa zinakuwa backed na gold
  5. Jesse008

    Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Yan bro kuna njia mbili za kuhold gold online kama sikosei kuna etf au etfn hyo ya etf huwez loose money ni unakuwa kama ukaondoka nayo nyumban na pia ukiutaka mzigo wako wanaukuletea sema gharama za usafiri ni juu yako hii kitu nmeona uko south africa ndo inafanyika na pia makampun mengi...
  6. Jesse008

    Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Na upande wa tangible hao skrill hapana aisee wana update terms zao mara kwa mara
  7. Jesse008

    Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Hata kam unajua kampuni za gold etf pia unaweza nisaidia bro
  8. Jesse008

    Refinery set to turn Tanzania city into major gold hub

    Yes bro hivi hakuna bank inayouza hizo coin hapa tz
  9. Jesse008

    Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    CRDB nliongea na watoa huduma zao wakasema hawatoi hizo huduma pia na absa wao wamezilist kwa mfumo wa etf kwenye stock so sijapenda hyo style ya absa isingekuwa kwenye stock ingefaa kununua.sasa unaweza nisaidia channel nyngne wanaotoa hizo huduma
  10. Jesse008

    Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Ni kuhusu hizo gold coin bro unaweza nielekeza wapi naweza pata
  11. Jesse008

    Ndugu zangu nisaidieni ujanja ili nitambue dhahabu halisi na feki

    Aisee ndugu ninaweza nikanunua wapi gold coin
  12. Jesse008

    Refinery set to turn Tanzania city into major gold hub

    Ndugu wapi ninaweza nikanunua gold coins kama sehem yangu ya uwekezaji
  13. Jesse008

    Job Opportunities at Bulyanhulu Gold Mine

    Wazee wenye ujuzi wa gold ninaweza pata wapi gold coins za kuwekeza hapa tanzania
  14. Jesse008

    Vendor Prequalification Coordinators at Geita Gold Mining Ltd (GGML)

    Wazee wapi ninaweza kununua gold coin za kuwekeza
Back
Top Bottom