Nina mdogo wangu alizaa na kaka mmoja na kukataa ujauzito na hata alipojifungua kupelekewa mtoto akawa anajibu mtoto sio wangu,kamtafute baba yake,hana cha huduma walanini, mtoto akiumwa akipigiwa simu anajibu mwache afe, mkimkalisha vikao anahaidi kumhudumia mtoto lakini,akitoka hana...