Recent content by Jerry94

  1. Jerry94

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ndio pia unaweza kuangalia jinsi ilivyoandikwa kwenye cheti husika
  2. Jerry94

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    EU3FU itakuwa ni hii nadhani
  3. Jerry94

    2021 AFCON Special Thread

    Eeh! Hapo hakuna wakumfikia
  4. Jerry94

    2021 AFCON Special Thread

    Anagoli ngapi?
  5. Jerry94

    Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Ndio lakini si ajira mpya ni mbadala Kama hizi tu, kuziba nafasi zilizo wazi kwa sababu mbali mbali Kama vifo, kustaafu, kuacha na kufukuzwa kazi
  6. Jerry94

    Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Tutafanya nini mkuu? kuwakumbusha Kama hivi huenda ikasaidia. Maana suala la uwajibikaji inapotokea makosa kwa viongozi wa Afrika haipo!
  7. Jerry94

    Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Hakika mkuu na hali hiyo inaleta shida. Inaonesha wameajili 1000 kumbe ni 900 sasa sijui ni ulaji au
  8. Jerry94

    Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Na Jamaa alikuwa na bahati kweli kavuta jiko na ajira ikamfuata. Lakina pia mwaka wa kumaliza chuo ni 2018 na si 2019 Kama ilivyoandikwa. Hakika Bila koneksheni ajira kupata ni bahati nasibu!
  9. Jerry94

    Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Hapana Ummy anajitahidi sana mkuu Kuna mabadiliko makubwa sana. Makosa si mengi sana ingawa sijachambua sana lakini yupo vizuri tumpe muda.
  10. Jerry94

    Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Mkuu kwa case ya Shafii sikulijua hilo. Kama nilivyoshauri watoto wasikose walimu kwa makosa ya wengne. Case ya huyo dada nafikiri ni system tu ilishindwa kutambua. Lakini yote kwa yote watoto wasikose walimu wa masomo husika kwa uzembe wowote ule
  11. Jerry94

    Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Nimefikiri hivyo pia lakini makosa ni kawaida kutokea muhimu hao wanafunzi wasikose walimu kwa makosa ya TAMISEMI.
  12. Jerry94

    Ummy Mwalimu na TAMISEMI kwanini makosa haya yanajirudiarudia au ni mradi wa watu?

    Ni mambo madogo tu mkuu si unajua tumetofautiana uelewa
Back
Top Bottom